Boda Anthem / Hero Lyrics
Boda Anthem / Hero Lyrics by H_ART THE BAND
Big up to all the heroes wa nduthi gang
Nyi ndio mmenifunza Unity sio college
Na Umoja sio estate Nairobi
From everywhere Eldoret to Kitale
Kisumu to Migori to Kisii
Keep hustling kaa rada ooh yeah
Big up kila mtu ana nduthi today
Hustle ni lazima tunapiga everyday
Beba mizigo ama kubeba wasee
Tunapita ni kama ni highway
Bigup kila rider anakula jasho yake
Kila rider anaraise family, big up
Kila rider anawabeba kwa mag, big up
Na kutia bidii
Ju bodaboda yangu ni hero
Na ndo maana mi ni hero
Bodaboda yangu ni hero
Na ndo maana mi ni hero
Oh yeah lets ride, bodaboda mpaka Kisumu
Lets ride, bodaboda mpaka Nairobi
Lets ride, bodaboda mpaka Mombasa
Eldoret Nakuru
Bingwa, bingwa bingwa barabarani
Bingwa, bingwa bingwa barabarani
Boda boda yangu iko safety na ni noma
Inafika kila pande kila kona
Naweza kusave kama umekwama
Ukuwe jiji ama kwa shamba
Tunazunguzungu nazunguka
Shughli bado tunapiga
Zungu zungu nazunguka
Pole pole
Ju bodaboda yangu ni hero
Na ndo maana mi ni hero
Bodaboda yangu ni hero
Na ndo maana mi ni hero
Oh yeah lets ride, bodaboda mpaka Kisumu
Lets ride, bodaboda mpaka Nairobi
Lets ride, bodaboda mpaka Mombasa
Eldoret Nakuru
Oh yeah lets ride, bodaboda mpaka Kisumu
Lets ride, bodaboda mpaka Nairobi
Lets ride, bodaboda mpaka Mombasa
Eldoret Nakuru
Bingwa, bingwa bingwa barabarani
Bingwa, bingwa bingwa barabarani
Bingwa, bingwa bingwa barabarani
Bingwa, bingwa bingwa barabarani
Eh!
Oh yeah big up to wasee wote wa nduthi gang
Nairobi to Kitale, Kisumu
Nyeri Mombasa, Turkana, Kisii
Nakuru, Bungoma, Machakos
Kibera, Mbooni, Makueni
Thika 237, Murang'a, Roysambu
Kwa Wambo 1960 Kayole
Dandora, Rongai 125
Masai lodge stage
Maana njooni kuja bana utupeleke nyumbani au sio
Big up to everybody nduthi gang
Watch Video
About Boda Anthem / Hero
More H_ART THE BAND Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl