Hukumu Lyrics
Hukumu Lyrics by GUARDIAN ANGEL
Ni rahisi kwa daktari kutoa tiba kwa mgonjwa apone
Kasha mwenyewe apate magonjwa kama yale yale aage
Nirahisi kwa mchungaji kuombea mwenye dhambi aokoke
Kisha mwenye we apate majaribu kama yale aanguke
Ni rahisi kuona kibanzi ndani ya jicho la mwenzako
Wakati wewe mwenyewe una boriti ndani ya jicho lako
Kutoa hukumu, Kwa wenzetu
Ni kawada ya binadamu
Tunasahau kila mmoja
Ana madhaifu mbali mbali
Aliye na haki
Kutoa hukumu
Ni mwenyezi mungu pekee
(Aliye na haki
Kutoa hukumu
Ni mwenyezi mungu pekee)
Kuna tofauti kati ya kukosoana na kuhukumiana
Kuna wengine mpaka wanapitiliza wanatukanana
Instead of judgment let’s correct each other with love
Let’s correst each other with love
Acha tukosoane kwa upendo oooh
Kutoa hukumu, Kwa wenzetu
Ni kawada ya binadamu
Tunasahau kila mmoja
Ana madhaifu mbali mbali
Aliye na haki
Kutoa hukumu
Ni mwenyezi mungu pekee
(Aliye na haki
Kutoa hukumu
Ni mwenyezi mungu pekee
Aliye na haki
Kutoa hukumu
Ni mwenyezi mungu pekee)
Watch Video
About Hukumu
More GUARDIAN ANGEL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl