Paroles de Rambo
Paroles de Rambo Par WAMBUI KATEE
Wambui Katee ft Sevil - Rambo lyrics
Umenikunywa kama Cocacola
Wacha nikupande kama boda boda
The way your body move like anaconda
Te amor kuplay nimekoma
Unasema Te amor
Basi tafuta Rihanna wewe player boy
Only you want to play around
Kizungu zako sitapay along
Girl you got me kicking like Messi
I wanna see you I wanna get messy
Your body good, and so tasty
Unafanya nywele isimame kwa chesty
Uko sober ama umekunywa tequila
Ukinichezea my dad is a killer
Me no want no emotion dealer
Ukitaka sana utatoka bila
Inama inuka
Ukinipa sasa siwezi kataa
Inama inuka
Ukinipa sasa mi siwezi kataa
Unajiona Rambo
Nikikupa huwezi handle
Unajiona Rambo
Nikikupa huwezi handle
I know you like me boy
Lakini saa zingine unatupaga rada
I wanted something more
Sio picha za Insta kujisifu kwa mahaba
Stop! kuniguza mi ni kesi
Don't even think about it no no
Coz me want a man not a baby
Bad gyal I ran what a man got touch
Uko sober ama umekunywa tequila
Ukinichezea my dad is a killer
Me no want no emotion dealer
Ukitaka sana utatoka bila
Inama inuka
Ukinipa sasa siwezi kataa
Inama inuka
Ukinipa sasa mi siwezi kataa
Unajiona Rambo
Nikikupa huwezi handle
Unajiona Rambo
Nikikupa huwezi handle
Kwenye kick na masnare, niko form
Sijui kama atajipa
Kwenye kick na masnare, siko form
Na sidhani nitajipa
Inama inuka
Ukinipa sasa siwezi kataa
Inama inuka
Ukinipa sasa mi siwezi kataa
Unajiona Rambo
Nikikupa huwezi handle
Unajiona Rambo
Nikikupa huwezi handle
Ecouter
A Propos de "Rambo"
Plus de Lyrics de WAMBUI KATEE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl