Paroles de Mahabuba
Paroles de Mahabuba Par WAMBUI KATEE
Mahabuba niweke
Leo na kesho
Karibu, tamkia uwaridi maua
Ningekuwa upepo we bahari
We ni dhamani yangu na fahari
Wangu beiby nimekuridhia
(aiyaiya)
Nitakupa lolote
Nimekupa moyo wangu wote
Hisia zangu ziko kwako zote
(aiyaiya)
Nitafanya chochote
Uwe maishani mwangu kote
Hisia zangu ziko kwako zote
I love you
You are the one in my life
Iye iye, ooh beiby, iye iye
I need you
You are the best in my life(You...)
You beiby(You...)
Nah nah nah nah nah(You...)
The only one I need(You...)
Yeah beiby(You...)
Now(You...)
Wangu kipenzi
Onyesha mapenzi
Nami nitakung'ang'ania(aah)
Beiby me sitaki sikia(oooh)
Nilopenda ni wengi
Sikupata wa kweli
Nami nitakung'angania(aah)
Umenivutia(oooh)
(aiyaiya)
Nitakupa lolote
Nilikupa moyo wangu wote
Hisia zangu ziko kwako zote
(aiyaiya)
Nitafanya chochote
Uwe maishani mwangu kote
Hisia zangu ziko kwako zote
I love you
You are the one in my life
Iye iye, ooh beiby, iye iye
I need you
You are the best in my life(You...)
You beiby(You...)
Nah nah nah nah nah(You...)
The only one I need(You...)
Yeah beiby(You...)
Now(You...)
(aiyaiya)
Nitakupa lolote
Nimekupa moyo wangu wote
Hisia zangu ziko kwako zote
(aiyaiya)
Nitafanya chochote
Uwe maishani mwangu kote
Hisia zangu ziko kwako zote
I love you
You are the one in my life
Iye iye, ooh beiby, iye iye
I need you
You are the best in my life(You...)
You beiby(You...)
Nah nah nah(You...)
The only one I need(You...)
Yeah beiby(You...)
Now(You...)
Mahabuba niweke
Leo na kesho
Karibu, tamkia uwaridi maua
Ecouter
A Propos de "Mahabuba"
Plus de Lyrics de WAMBUI KATEE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl