Paroles de Wale Mang'aa
Paroles de Wale Mang'aa Par VDJ JONES
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana wa mabibi zao
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana wa mabibi zao
Sini-Si ni wale wabaya wacha kushangaa
Na hatuna haya na hii umang'aa
Niko juu ya jaba nikiteremsha chang'aa
Na niko na mbogi yangu nikute kwa mtaa
Tu tesa kila siku vile inafaa
Usingizi iliisha hujalala siku saba
Mguu zetu chafu bado unageu sana
Equalizing, miti ni dawa
Mangoko wote wako na umang'aa
Mangati wote wako na umang'aa
Mtaa sote tuko na umang'aa
Kama hujui sisi wote ni walee
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana wa mabibi zao
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana wa mabibi zao
Shada imekazwa ndo ishikishi
Napita nikikata nikisip sip
Napiga hiyo kitu ina pisi pisi
Ukiona mi na mbulu jua niko Masii
Nakemba Wambo, Shiko, Joy na Mercy
Hizo shimo zote mi nina ma-key
Nakata base -- mloso na Cassey
Toboa, kasongesho, brikicho, hicho hicho
Kalongongo na banono
Kilokolo cha mbao
Kujengwa ngwa kwa grao
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana wa mabibi zao
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana wa mabibi zao
Odi wa Murang'a ni ka nimemeza tongs
Na leo katashika tu bila jing jongs
Na rieng niko ready tu camera ikiwa on
Na hao mangeus hapo kando walegeze thong
Mangwati mingi mingi kendo ngiri thirty
Mangwai mingi mingi kendo mkoko thirty
Mi sina akili mi hutemea hadi wale mate
Mi humwaga ka chizi sipanguzi ndo ulambe
Singekuwa mkenya ningekuwa peddy wake
Ka angekuwa Getho ningemtoka saddles zake
Leo sidai beef sapa nakula sistake
Na beat ishamada, Kelly twende tukakate
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana wa mabibi zao
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana wa mabibi zao
Ecouter
A Propos de "Wale Mang'aa"
Plus de Lyrics de VDJ JONES
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl