Paroles de Zuzu
Paroles de Zuzu Par TONY TREEZ
Unavyonikuna kuna kuna mama
Naskia raha, yoyoyoyo...ah, Skia raha
Tena unanibana bana bana sana
Ushanikaraha ah ah ah ah
Ai chuma unakipasha moto
Moto moto nasikia
Nideke kama mtoto, toto toto
Narukia
Penzi halilinganishwi ka kandili
Ooooh oooh
Nifiche unisitiri eeh
Nishakuwa zu, ah zu, ah zuzuzu ayee
Kwako nishakuwa zu, ah zu, ah zuzuzu ayee
Tena nimekuwa zu, ah zu, ah zuzuzu ayee
Zu, ah zu, ah zuzuzu ayee
Nimekuwa zuzu, chizi wa --
Nimekuwa bubu, pimbi wege
Penzi nalotubu ni la mimi na wewe
Ushanisulubu nipe kilevi nilewe
Ichanganye vizuri na hiyo dawa ya liwata
Nikishapagawa nipe dawa ya kudata
Tusipokwenda sawa moyo unakwenda fasta
Nishakuwa mahala unapopenda ukale bata
Nimekuwa zuzu, zuzu jinga
Kila unachosema hewara sitokupinga
Kila tukishindana kwa hoja unanishinda
Unajua nakupenda na ndo maana unaringa
Penzi halilinganishwi ka kandili
Ooooh oooh
Nifiche unisitiri eeh
Nishakuwa zu, ah zu, ah zuzuzu ayee
Kwako nishakuwa zu, ah zu, ah zuzuzu ayee
Tena nimekuwa zu, ah zu, ah zuzuzu ayee
Zu, ah zu, ah zuzuzu ayee
Usije kazingua ah zu
Sasa sasambua ah zu
Changa kitumbua ah zu
Chimba menengua ah zu
Penzi umetusua ah zu
Tunzo unanyenyua ah zu
Ganda girl zingua ah zu
Useme nasugua, aah eeh
Ecouter
A Propos de "Zuzu"
Plus de Lyrics de TONY TREEZ
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl