
Paroles de Yamekwisha
...
Paroles de Yamekwisha Par MATHIAS WALICHUPA
We si dharimu, nikikuomba mkate
Wewe unipe jiwe
Tena si dharimu nikikuomba samaki
(Wewe unipe nyoka)
Kama mauti haikukushinda
Je Mapito yangu kwako ni nini
Uliposema yote yalikwisha
(Kweli yote yalikwisha)
Bado nasubiri, kauli yako ya mwisho
Bado nangojea, muujiza wangu
Ninakuamini, we mwokozi wangu
Naninakiri yamekwisha
Yaame-kwisha
Yote yamekwisha (Yamekwisha yote)
Yote yamekwisha (Kwa jina la Yesu)
Yote yamekwisha (Ninakiri)
Ninakiri yamekwisha (Wakati wa machozi ninauona ushindi)
Yote yamekwisha (Yamekwisha)
Yote yamekwisha (Kwa jina la Yesu)
Yote yamekwisha (Ninakiri)
Ninakiri yamekwisha
Ouyee
Uuh-uu-uuu
Ouye-yeye
Eeh, eeeh, eeee
Ulikufa kwaajili yangu
Ili mimi niishi kwaajili yako
Umenitua mzigo mzito
(Umenipumzisha)
Sasa furaha imerejea
Niliyopoteza umerejesha
Amani ya moyo umenipa
Yote (yamekwisha)
Hakuna wa kubadili kauli yako ya mwisho
Hakuna wa kuzuia muujiza wangu
Umenitendea eeh mwokozi wangu
Kweli yote yamekwisha
Yote yamekwisha (Naamini)
Yote yamekwisha (Kwa jina la Yesu)
Yote yamekwisha (Ninakiri)
Ninakiri yamekwisha (Yaliyonitesa)
Yote yamekwisha (Yote)
Yote yamekwisha (Yaliyo niumiza)
Yote yamekwisha (Ymekwisha)
Ninakiri yamekwisha (Ouyee)
Ecouter
A Propos de "Yamekwisha"
Plus de Lyrics de MATHIAS WALICHUPA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl