Paroles de Moyo
Paroles de Moyo Par VANESSA MDEE
Vee money on the track yeah
Its S2kizzy beiby
Moyo unanikosea, moyo unanikosea
Nakaa na wewe, natembea na wewe
Nalala na wewe, bado unanikosea
Zungumza nami mchana(lalala)
Zungumza nami usiku(lalala)
Kama haifai hata ndotoni tu
Mmmh mmh
Usishindane na kichwa(aaaah)
Tumalizane yakaisha(aaaah)
Moyo nirudishie maisha(aaaah)
Mtupu mtupu nimekwisha
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea, moyo
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea(we moyo)
Moyo unanikosea(sasa mbona unanitorture?)
Moyo unanikosea(we moyo)
Moyo unanikosea(sasa mbona unanitorture?)
Umeniadhibu chozi tiba yangu
(We haya)
Umeziharibu zote hisia zangu
(Si sawa)
Moyo mbona umenitoa chambo ooh?
Moyo we hunanga chanjo ooh
Moyo umenifanya pango ooh
Moyo huishiwi mipango ooh
Waongo wote unawaleta kwangu
Wanaocheat nao ni wa kwangu
Walevi wote nao ni wa kwangu
Mbona unajitesa aah?
Usishindane na kichwa(aaaah)
Tumalizane yakaisha(aaaah)
Moyo nirudishie maisha(aaaah)
Mtupu mtupu nimekwisha
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea, moyo
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea(we moyo)
Moyo unanikosea(sasa mbona unanitorture?)
Moyo unanikosea(we moyo)
Moyo unanikosea(sasa mbona unanitorture?)
We moyo sasa mbona unanitorture?
(Mbona unanitorture?)
We moyo, sasa mbona unanitorture?
We moyo
Ecouter
A Propos de "Moyo"
Plus de Lyrics de VANESSA MDEE
Commentaires ( 1 )
Vanessa nakupenda mungu akuache miaka Mia na mungu akuongeze kipaji zaidi ili niwe nakusikiza kila siku
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl