Paroles de Bado
Paroles de Bado Par VANESSA MDEE
Kipendacho roho
Hula nyama mbichi beiby
Nobody knows
That you are down for me
Beiby niruhusu nideke
Nisichekwe
Iwe ka ngumi mateke
Tuwe sote
Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio
Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio
Beiby you know, bado
The way that I do, bado
The thing that you do, bado
The way I love you, bado
Oooh beiby you know, bado
Mi kufanya nikusahau, bado
Mpaka mi nikushushe dau, bado
Mi sipendagi madharau, bado
Nusu kaput
Umenipiga nusu kaput
Nusu kaput
Umenipiga nusu kaput
Haiboooo...
Alamba alamba
Tamu tamu katoa maganda
Nyuma kibanda misamba
Makarate kavunja kitanda
Kanitekenya tekenya
Ayee kanitekenya
Mi napekenya pekenya
Ayee mi napekenya
Kucho kurokocho ayeee
Nikugande kiroboto ayeee
Njoo nikupe burungutu ayeee
Mimi kwako zumbukuku ayeee
Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio
Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio
Beiby you know, bado
The way that I do, bado
The thing that you do, bado
The way I love you, bado
Oooh beiby you know, bado
Mi kufanya nikusahau, bado
Mpaka mi nikushushe dau, bado
Mi sipendagi madharau, bado
Nusu kaput
Umenipiga nusu kaput
Nusu kaput
Umenipiga nusu kaput
Beiby you know, bado
The way that I do, bado
The thing that you do, bado
The way I love you, bado
Oooh beiby you know, bado
Mi kufanya nikusahau, bado
Mpaka mi nikushushe dau, bado
Mi sipendagi madharau, bado
Ecouter
A Propos de "Bado"
Plus de Lyrics de VANESSA MDEE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl