
Paroles de Ametenda mema
Paroles de Ametenda mema Par PASTOR HERMAN PHILLIP
Moyo wangu sifu Bwana sifu Bwana
Siku zote Halleluyah Hallelujah
Imba imba, anaweza anaweza
Tumshangilie kwa shangwe anaweza
Ndiye Bwana wa mabwana
Oooh Moyo wangu
Moyo wangu sifu Bwana sifu Bwana
Siku zote Halleluyah Hallelujah
Imba imba anaweza anaweza
Tumshangilie kwa shangwe anaweza
Ndiye Bwana wa mabwana
Shangilia ametenda mema
Yesu Bwana mfalme wa ajabu
Ameshinda kifo na mauti
Atawale milele amina aah
Shangilia ametenda mema
Yesu Bwana mfalme wa ajabu
Ameshinda kifo na mauti
Atawale milele amina aah
Ecouter
A Propos de "Ametenda mema"
Plus de Lyrics de PASTOR HERMAN PHILLIP
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl