SEWER SYDAA  Extremist cover image

Paroles de Extremist

Paroles de Extremist Par SEWER SYDAA

Beshte amechambua na akona lotta great ideas
But hanaku tukis atadu what? Kuwaibia
Naongelelea about my peers walikuwa hata Dusit last year
Extremist wataji pah pah pah pah bila hisia 

Beshte amechambua na akona lotta great ideas
But hanaku tukis atadu what? Kuwaibia
Naongelelea about my peers walikuwa hata Dusit last year
Extremist wataji pah pah pah pah bila hisia 

Vojas walitoka home, Friday ati kwenda mosque
Sheikh alimwonea huruma akamuuliza kwani whats wrong
Sina doh, sina doh na mtaa jo hanaku form
Nimesomea upilot na naonyeshwa ati kuna wera Som

So ka una rada Inshallah Inshallah nishikanishe jo
Nimechoka kubaki home familia yangu inataka doh
Shika namba nihalla nihalla ka uko ready yoh
There is no need for you to suffer alone 
We are here bro'

Uncle yangu ako na doh lakini hata hawezi nipatia loan
So ndo maana nataka kwenda abroad ama hio wera som
So ndo maana nataka kwenda abroad ama hio wera som

Hours turns days, weeks to months
Mans is stressed he almost collapse
Extremist in his brain he don't give a fck
He just need some space and money to bounce back

Daily amekuwa posted block akimedi kuwashika koo
Anaona it's not easy though especially akifikiria mob
Aliuzanga tropical akaona hio biz hainaga doh
Kila time anafikiria venye ako one phone call to Som

Beshte amechambua na akona lotta great ideas
But hanaku tukis atadu what? Kuwaibia
Naongelelea about my peers walikuwa hata Dusit last year
Extremist wataji pah pah pah pah bila hisia 

Beshte amechambua na akona lotta great ideas
But hanaku tukis atadu what? Kuwaibia
Naongelelea about my peers walikuwa hata Dusit last year
Extremist wataji pah pah pah pah bila hisia 

Alikuwa depressed akapigia Sheikh kufollow up ile case
Hii kitu si mambo na race ama dini ni ngori ya state
Alimpatia appointment after prayer 
Friday same same place

Hakuwa anaelewa akiekwa por potea without a trace
In the name of prayer, faith pia akaekelea
Akaambia trip ya kwanza to Somalia inafaa kuwa December
Akapatiwa kakhi chweza kwanza ndo akiachia familia yake better
Akaanza kujiita mjahidin na kutwambia venye anasepa
Sai ako ketepa, masurba hatuwezi teta
Kila mtu tunaona vile amepenya
Hatukumuona after a while until tukamwona kwa crime
Organised na Alshabab akajilipua to his demise

Ecouter

A Propos de "Extremist"

Album : Extremist (Single)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Nov 18 , 2021

Plus de Lyrics de SEWER SYDAA

SEWER SYDAA
SEWER SYDAA
SEWER SYDAA
SEWER SYDAA

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant

A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl