SEWER SYDAA  2nd Wave cover image

Paroles de 2nd Wave

Paroles de 2nd Wave Par SEWER SYDAA


Si tuko baaaze tunachill we got nothing to lose
Izo change mtatuachia tukiwajazia matatu
Mikono juu plz usi make sudden moves
Ita press umuambie kuna  kitu apa itamaka  kwa news

Karao alitry kushika yout sema kuawacha mguu
Maumau pt2 ni vile tumetulia tu
Righteous youts lakini hamtushindi kugroove
Hamtushindi kupush hamtushindi ma 1 2

Sa mnado... Ka si look na kuingia Carrefour 
Pass iyo dutch umedunga na ni foreign si gush 
Hakuna kitu tamu kama kuget high kwa roof
Sa iyo keja imewaka na inagonga tu ma roots

Punctuate iyo sentence tuelewe chenye unasema
Me ni ka elijah me ni ka moses niktembea kwa bush warena                    
Eeh nakam kwa arena na njaa za ki magera 
Sauti ya miriam makeba  inaplay kwa debe na tena

Tumerudi tena ka 2nd wave but only better
Rizzla ki nea paraphenelia za mavela 
Mbleina cheki radar tumeriet tuko ma redeye
Yes I natty zinadunda ka za dedan

Runda ndo si udunda zikirunda
Jeshi ya bunda washwash si mumesunda
Will m Mtunga ungechanua kina Mtuva
Izo mili ni za kusunda so itabaki jo umekulwa

Alfred Mutua alikuliwa pia na Julius
Crime scene 15 One down Rubia
Shut down shutup si uliambiwa tulia
Kushoto ya kahasho mpaka utaanza kulia

Pastor alikula kondoo na mbegu haikuwa imegrow
Nliwaambia siste alienda kombo skuizi anapenda kuicock
Na si unajua hatujawai condon mistake zikiwa tatu in a row
Na si unajua hatujawai Bow down kwa mlami juu ya do. 

Me ndo iyo monkey kwa room otobenga yoh
Nimetoka human zoo waliniimport juu ya kuflow
Top ranking kwa booth Alpha Omega bro
Patia mtoto the truth ata unaeza mnyima do

Hang nao juu ya do kama Suicider kwa rope
Power inaeza fanya bro apige bro guto
Rap loud vunja gate ingia industry na force
Towers lazima zita fall after all i know

On God mathangu na pia matha Fvkin dosh
Tulidoze backstreet tukiwa mbachua juu ya ma cops
Nimechoka baeby gal plz panda on Top
Me mshifty skuizi na work around the clock

Ata using hard aje unaeza kuwa  the unsung hero
Kipsang uyo mbio amecover distance zero
Ume hang uko maduya ama untaka reload
Si ulimeza 40% sai  untaka milo. 

Aliona aache shillings akakimbilia riyad. 
Sai amerudi nil anatuthigitha adi mia
Ngumu ata kulipa  na we uanga wa kwanza kulia
Tuliifanya last year na this year tutairudia

Wantaka two thirds  ndo ati hali ikue merrier
Niko na rude gyal sioni things zikiwa better
Na ako wapi dufla ama alikula akasepa
Batizwa na boombap kwa jina la Kimemia

Ecouter

A Propos de "2nd Wave"

Album : 2nd Wave (Single)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021 Zoza Nation/Rong Rende
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Sep 14 , 2021

Plus de Lyrics de SEWER SYDAA

SEWER SYDAA
SEWER SYDAA
SEWER SYDAA
SEWER SYDAA

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl