Paroles de Juzi Hosi Par WAKADINALI


Juzi hosi, juzi hosi
Jusi hosi tulifanya crime scene juzi hosi
(Eyuh Chino, you again?)

Juzi hosi, tulipeleka msee amenyembishiwa
Juzi hosi, tulifanya crime scene
Juzi hosi, yeah yeah
Juzi hosi, vijana watoxic, vijana wabaya
Juzi hosi

Juzi hosi, tuli-peleka msee amenyembishiwa
Juzi hosi, yeah yeah
Juzi hosi, vijana watoxic, vijana wabaya
Juzi hosi juzi hosi

Mi na huzzy yako, hatupatanangi
Naroll vifresh Munga ah naroll kiplani
Uh uh uh Mwiki Kasarani
Waliniwekea sukuma wiki kwa sahani
Shandwa Ghetto, uh labda Getho
Idhaa ya kudungwa kanisani siko
Niliwapata na kimali nikaitupa huko Voi
Poor connection mtandao uh siwaoni siwaoni
Avoid me nitakupeleka hosi
Hosi hosi hosi!!

Eh siku hizi ni jaba nazichok kahaba wanalamba
Stoko inapigwa mchana wakati soko imejaa tu wamama
Ghetto si kuna madrama nnje ya kanisa ndo kunauzwa jaba
Kwa kona pedi anaweza nunua mweke bahasha
Si ndo warong si hukimbiza mabang'a 
Pah pah wakiendaga
Strictly mi sibishani na makanga
Kunidiss ni matanga unapanga
Naitwa buchiman mi huwaadress na mapanga

Nakulanga matwada, si tukirepeat kinini kinanyamba
Harufu na sauti inafanya una ulal
Mi hushinda ni back si nalearn kuzichapa aah
Si biz mi biz so usinishike ukinipata na riz
Plus mi si mwizi ju shingo vidole nimejaza mambling

Juzi hosi, tulipeleka msee amenyembishiwa
Juzi hosi, tulifanya crime scene
Juzi hosi, yeah yeah
Juzi hosi, vijana watoxic, vijana wabaya
Juzi hosi

Juzi hosi, tuli-peleka msee amenyembishiwa
Juzi hosi, yeah yeah
Juzi hosi, vijana watoxic, vijana wabaya
Juzi hosi juzi hosi

Ey ey ka uko kwa jungle tough as Rambo
Lyrics toka kitambo
Mimi ninaspit nyi mnafumble
Mamwere kutoka kitambo

Hii ni sweet tequila mango
Nakunywa hadi side za Kiganjo
Walipullup na Vitz tulipull up na Prado
Vile tulikuwa tu na mambo
Bling kwa shingo, neck vidole mapetco
Niko na mamorio wamechafua hadi madental

Wasted positive kwa track tested
Negative track reckless
Eh juzi hosi, juzi hosi
Sick Tepla Munga juzi hosi

Juzi huskii hio senke teketeke
Peleka msee amenyambishiwa na KCF
Subaru ya Mambaru Mama Lucy Hosi
Chafua scene, nimeingia FC
DCI, OCS wanadai nimewachai mablue
Matape ma C

Uh juu ya walenje vibenje 
Kamenje tumeshin inatrend
BuruBuru stenje
Cheki mamboto kwa magshot
Pah pah pah pah before uget shot

Commercial, Commercial Commercial
Usipande nganya panda moshogi
Makanga ni wa crew watakuacha uduu
Pale Roysambu napiga mahesabu
Za kuwanyita doggy sambu
Tututu kalash ni kovu, arif ya Kovu

Juzi hosi, tulipeleka msee amenyembishiwa
Juzi hosi, tulifanya crime scene
Juzi hosi, yeah yeah
Juzi hosi, vijana watoxic, vijana wabaya
Juzi hosi

Juzi hosi, tuli-peleka msee amenyembishiwa
Juzi hosi, yeah yeah
Juzi hosi, vijana watoxic, vijana wabaya
Juzi hosi juzi hosi

Ecouter

A Propos de "Juzi Hosi"

Album : EXPOSED (Munga's Revenge) (Album)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021 Zoza Nation/Rong Rende
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Nov 18 , 2021

Plus de lyrics de l'album Exposed (Munga's Revenge)

Plus de Lyrics de WAKADINALI

WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl