
Paroles de Finya
...
Paroles de Finya Par SCAR MKADINALI
Yoh finya ikikubamba unaenda nayo
Finya finya ikikubamba unaenda nayo
Yoh finya ikikubamba unaenda nayo
Huku unaeza guza guza guza guza guza
Alafu tena finya ikikubamba unaenda nayo
Finya finya ikikubamba unaenda nayo
Yeah finya ikikubamba unaenda nayo
Huku unaeza guza guza
Aah ka mboga ya kienyeji manage
Nina pain waliwaitanga ma monkey ma baboon
Mickey Mouse rat, kazi ni kukaa tu
Nina spit ka woriah
Aki aki akthuuu
Hii ni part one basi ngoja part two
Naeza bonga patwa don’t you fuck with the crew
Pull up, pull up wid di ting
Do you know what it do
Alinilink via gram nikapandwa libido
Sidai usoo, I just wanna rap bro
She want me to do her raw, I just wanna rap though
I don’t really do blow, I just want the rapport
TY juu ya tenje shit looking like a black board
Nikiwa Mombasa na unahate kumamako
Bros wangu Vatos
Girls wangu vako
I be, I be, I be with the gee
Kuna wasee flani bila mimi watoi wao hawatadishi
So tera mos
Aonge sachi ibiro tera loss nadai profit mi siwezi doz bila
Nadai nasosi hata kushinda Godzilla
Yeza, big up Mr. Ombima, mano bossy na
Bitches all over me ka chokora na mutina
Ka nyathine ohero nyasore mano copy na
I told my son, ukimada colle nakuseti loud
No hook, pure bars, ink iliisha nikichora
Ka Mejaa na Mady venye hawakuneed Kora
Vile nikifanya kovu siku need chorus
But madem wa Nyeri wananibeg pris cor us
Hii kitu ina insurance
Una unapigwa blue tick ukidai kujuana
By public demand naenda kuivaa
Na herb ikiland naenda ku rehab
Listen, the cops are corpse if they dare touch my dawgs
Na ku force na force hadi tufungue hizo doors
Ofcourse sikosi kikosi ya kufanya chores
Na boss ni boss ka yuko frontline kwa war
Wabunge waturepresent sisi
Hii ni crisis adi tuna cry sisi
Hamuongei mankula na polisi
Oooh ni discipline, you don’t talk while eating
Snitch hutolewa base ka kindiki
Na mswitch ma right left adi niche
Hamwezi nishow hatuko Kilifi
Hamshikishii flow buda si miti
Alitoka akaniacha na house empty
She needs more wood for the fire, hatosheki
I mean, nini ina rhyme na ozempic
Mmmh, these people ain’t shit
Pia hauzeeki pia haunenepi
Ngwai rolls eighty
Ni kaa ni 420
Usijam ju ya side chick, baby how petty
Ni park and chill nikiwakatia ma gram
Mess na me ndio utajua kazi ya bram
You are so lucky, summer ndio mali inakam
Hapo ndio tunachomea so carry hio bhang
Park and chill nikiwakatia ma gram
Mess na me ndio utajua kazi ya bram
You are so lucky, summer ndio mali inakam
Hapo ndio tunachomea so carry hio bhang
Yeah for real man you already know man
Another episode of homa zetuy si same mehn for real
Yoh finya ikikubamba unaenda nayo
Finya finya ikikubamba unaenda nayo
Yoh finya ikikubamba unaenda nayo
Huku unaeza guza guza guza guza guza
Alafu tena finya ikikubamba unaenda nayo
Finya finya ikikubamba unaenda nayo
Yeah finya ikikubamba unaenda nayo
Huku unaeza guza guza
Ecouter
A Propos de "Finya"
Plus de Lyrics de SCAR MKADINALI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl