
Paroles de My Lady
...
Paroles de My Lady Par WILLY PAUL
For your love oh baby I’ll never let you go
Pozze
I choose you over and over
I’ll never let you down
My baby ohh
My body dey shiver
Unavyo niwinia
Kwa mapenzi nimeshiba
Sijamwona mtoto mrembo Zaidi yako
Hata bila makeup bado hawakufikii hakuna Zaidi yako
You are more than a lover
You are more than a lover
Nikigonjeka wajua pa kushika (Wajua pa kushika)
Kwani Mungu alikua na mapendeleo (pendeleo)
Najiuliza maswali yani mpaka leo (mpaka leo)
Sitamani mpenzi kumpenda mwingine
Sitamani mpenzi my ladyyy
My ladyyyy
My ladyyyy
My ladyyyy
Baby oh mtima wangu umeukamata
Maishani mwangu we ndio pambio unwaka kama taa
Kila napokuita mami oh we niite tu daddy oh
Nimetangaza mpaka kwenye radio
Wanjua wewe ndio baby oh
Everything I do ni kwa ajili yako tu
Na mimi bado niko duniani kwa ajili yako tu
Everything I do ni kwa ajili yako tu
Niko duniani kwa ajili yako
My ladyyyyy
My ladyyyy
My ladyyyy
My ladyyyy
Ecouter
A Propos de "My Lady"
Plus de Lyrics de WILLY PAUL
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl