Paroles de Muonjeshe
Paroles de Muonjeshe Par RJ THE DJ
Nitazame usoni
Macho nikiota moyoni
Cha moyoni nikunyime kwa nini
Siwezi na sababu sioni, sioni
Na, na kanogewa kanogewa
Kalegea, kalegea
Kabisa hajiwezi
Na mimi na nangojea ngojea
Nisije mpaka lewa
Akawaka mshumaa
Anawaka lakini na yeye anaungua
Mpe love na muonjeshe
Muonjeshe
Yeah mpe love na muonjeshe
Muonjeshe yeah
Yeah yeah yeah yeah
Aah listen
Baby love is meant for two
One for me and only you
Tell me how you found my moods
When it's going down
Mi mcheche tuli nimetulila tuli
Weka kufuli kimahaba nguli
Mi nakaa kaa full
Ooh baby
Napenda ukilewa lakini usizime
Tipsy
Ukiamsha popo ka umerudi umeme
Fiti
Chupa ya wine, glass moja mbili tatu
Kitaani on unageuka kama fyatu
Hisia zinamea sayari ya tatu
Macho yanapaka mitambo nyatu nyatu
Kanogewa kanogewa kalegea, kalegea
Kabisa hajiwezi
Na mimi na nangojea ngojea
Nisije mpaka lewa
Akawaka mshumaa
Anawaka lakini na yeye anaungua
Mpe love na muonjeshe (Eeh eeh)
Muonjeshe (Eeh eeh)
Yeah mpe love na muonjeshe
Muonjeshe yeah
I surrender my whole love to you girl girl
Nimesurrender kama na nimevua gwanda yeah
Can't get enough, can't get enough
Want some more
Can't get enough beiby
Give me some more
(Ayo Lizer)
Ecouter
A Propos de "Muonjeshe "
Plus de lyrics de l'album Changes
Plus de Lyrics de RJ THE DJ
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl