Paroles de Mtaa
...
Paroles de Mtaa Par RICH MAVOKO
Ilala mabegani kwa mpaka Kariakoo
Kona kona za Jangwani kote pindi nasoma
Route Kimara nikimfuata Sarah kabla ya Tina anaishi Ubungo
Nikirudi zangu Temeke au Mbagala nkatafute Maseke
Mbio zangu za Kawe nitapita Mwenge kwenda Madale
Zama Tegeta Mbezi kwa Mikeka, twende Tabata kwa wala bata
Route Upanga kwa kujipanga, tutimbe Sinza kwa wajanja
Mi umenikuza mtaa
Umenifunza mtaa
Kabla sijakuwa star, umenilea mtaa
Mi umenikuza mtaa
Umenifunza mtaa
Kabla sijakuwa star, umenilea mtaa
Mishe mishe Magomeni (yes)
Kwenda kufosi Kinondoni
Nakata kata Mikocheni
Bondeni naibukia kwa Macheni
Nakatiza barabara Mwananyamala, narudi Mtogole kwa kina Kipara
Pande za Buza, nishabaluza Kiwalani kumenikuza
Vingunguti, Kigamboni, Gongolamboto, mpaka Mtoni
Mi umenikuza mtaa
Umenifunza mtaa
Kabla sijakuwa star, umenilea mtaa
Mi umenikuza mtaa
Umenifunza mtaa
Kabla sijakuwa star, umenilea mtaa
Chocho za Kigogo, Mabibo, Keko (umenikuza mtaa)
Tandale, Manzese, Oysterbay, Masaki, Chanika (umenilea mtaa)
Buguruni, Msasani, Kurasini (umenikuza mtaa)
Ecouter
A Propos de "Mtaa"
Plus de Lyrics de RICH MAVOKO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl