Paroles de Holiday
...
Paroles de Holiday Par DIAMOND PLATNUMZ
Wetin na do today
Wapi zinachomwa crate
Wetin na do today
Wapi tunacelebrate
Wetin na do today
Wapi zinachomwa crate
Wetin na do today
Wapi tunacelebrate
Kwanza bwana asifiwe, hallelujah
Tuliouona mwaka, happy new year
Kula pombe mpaka, upande juu ya
Meza ucheze chezea juu
Lete misosi jiachie kula
Maisha yenyewe vuvula
Wanga ni wengi wa kuchura
Na hatuijui kesho
It’s a hoooo holiday
Yani hoooo holiday
It’s a hoooo holiday
Yani hoooo holiday
Holiday
Hoo hoo holiday
Hoo hoo holiday
Hata nkisema nijichange
Sijui mwaka gani
Ntanjenga hicho kibanda
Mwisho nije kufa bora
Nijipe raha kuliko kuzichanga
Na mapenzi mtanange hayanaga fadhila
Hata uwe umejipanga
We unagharimikia na kuna baharia
Anakula bure mwamba
Ooh yani mauzauza eeh
Mauzauza ooh
Mauzauza mapenzi mauzauza
Eeh mauzauza ooh
Mauzauza eeh eeh eeh
Mauzauza mapenzi mauzauza
Kwanza bwana asifiwe, hallelujah
Tuliouona mwaka, happy new year
Kula pombe mpaka, upande juu ya
Meza ucheze chezea juu
Lete misosi jiachie kula
Maisha yenyewe vuvula
Wanga ni wengi wa kuchura
Na hatuijui kesho
It’s a hoooo holiday
Yani hoooo holiday
It’s a hoooo holiday
Yani hoooo holiday
Holiday
Hoo hoo holiday
Hoo hoo holiday
Huyu zombie jama zombie
Zombie ana karahaa
Zombie ana sifa
Zombie ana balaa
Huyu zombie jama zombie
Zombie ana karahaa
Zombie ana sifa
Zombie ana balaa
Huyu zombie nyie zombie
Huyu mwana ana balaa
Kazombie kana sifa
Zombie ana balaa
Huyu zombie jama zombie
Zombie ana karahaa
Zombie ana sifa
Zombie ana balaa
Ecouter
A Propos de "Holiday"
Plus de Lyrics de DIAMOND PLATNUMZ
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl