
Paroles de Kuna
...
Paroles de Kuna Par DIAMOND PLATNUMZ
Wenzako waolewa we huolewi kwani we
Ati una hila moja huseni na majirani we
Sema na hila ya pili ukihongwa hufanani wewe
Sema na hila ya tatu midabwada kitandani we
Sema na hila ya nne mwenzetu nchafu ndani we
Kanijengee kibanda kwetu eeeh eeh eeh
Kanijengee kibanda kwenu wataniua
(kanijengee kibanda kwetu eeeh eeh eeh
Kanijengee kibanda kwenu wataniua)
Kanijengee kibanda udugu wangu eeeh eeh eh
Kanijengee kibanda shoga zako wataniua
(kanijengee kibanda kwetu eeeh eeh eeh
Kanijengee kibanda kwenu wataniua)
Lalilo lilo eeeeh, pambe tu
Lololololo lololololo
Lali lali lali laa lali lali lili lalii
Ooh oh, jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi
(jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi)
Ooh oh, jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi
(jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi)
Ooh oh, jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh
Watu wote zoazoa lakini toss umezidi
(jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi)
Ooh oh, jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh
Watu wote wachepuka lakini lizer umezidi
Acha nicheze mie
(na watu wangu jangwani nalia)
Ohhhh acha niringe mia
(na watu wangu jangwani nalia)
Aaaah aaah aah acha nicheze mie
(na watu wangu jangwani nalia)
Acha nijishaue shaue
(na watu wangu jangwani nalia)
Oooh lolilo lilo eeeh
Kuntu mambo hayo
Alolololo lolo loloooo
Aah eeh mama mwanangu ooh
(mama mwanangu ooh)
Aah mama mwanangu ooh
(mama mwanangu ooh)
Waniacha nasaga mpunga we, mbona sijijui
Waniacha nasaga mpunga we, mbona sijijui
Waniacha napinda mgongo we; mbona usiniambie
Aah waniacha napinda mgongo we, mbona usinniambie
Jamani mi naumwa eeh eeh eeh naumwa
Naumwa ooh ooh oh, naumwa aaah naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole
(naumwa eeh eeh eh, naumwa
Naumwa ooh ooh oh, naumwa aaah naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole)
Jamani mi naumwa eeh eeh eeh naumwa
Naumwa ooh ooh oh, naumwa aaah naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole
(naumwa eeh eeh eh, naumwa
Naumwa ooh ooh oh, naumwa aaah naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole)
Naumwa kijipu upele jama, naumwa huniambii pole
Oyaa mwafulani wee (khaaaa)
Ooh mwafulani usitukane dangaji nakuambia aaah
Huo udangaji kaunaza dadayo kuutumia
Ukiona mwana wa mwenzio budege
(na wako vilevile, na wako vilevile)
Aah aah ukiona mwana wa mawenzio mchele
(na wako vilevile, na wako vilevile)
Ukiona mwana wa mwenzio shangingi
(na wako vilevile, na wako vilevile)
Aaaah lilo lilo eeh tamu
Nipeni barua yangu (niisome)
Nipeni barua yangu (niisome)
Nipeni barua yangu (niisome)
Jamani barua yangu (niisome)
Jamani barua yangu (niisome)
Naitaka barua yangu (niisome)
Barua jama barua eeh (niisome)
Barua ya bwana ndnai eeh (niisome)
Barua jama barua eeh (niisome)
Barua ya bibi ndani eeh (niisome)
Barua ifike vyema eeh (niisome)
Barua mama barua aah eheeeh eh eh
Oooh nyie wana dar es salama embu acheni umbumbumbu
Nyie wana dar es salama embu acheni umbumbumbu
Shariti ni kuinama ukitaka cha uvungu
Asa mbona wapata bwana halafu humpi
Naombeni barua yangu (niisome)
Naitaka barua yangu (niisome)
Niisome barua yangu (niisome)
Barua jama barua eeh (niisome)
Aaaaaaaah eeeeeeeehh
Jamani kuna kijiti kimoja kwa jina sitokitaja
Ukiona chasimama ujue chataka haja
Ukiona kimelala kisha ghafua mapaja
Jamani wewe
Nipeni barua yangu (niisome)
Naitaka barua yangu (niisome)
Nipeni barua yangu (niisome)
Barua jama barua eeh (niisome)
Barua ya mwana ndni eeh (niisome)
Barua jama bahaba eeh (niisome)
Naitaka barua yangu (niisome)
Niisome barua yangu (niisome)
Barua jama bahaba (niisome)
Mahaba jama ya muhiba (niisome)
Aaaaaaaaaahh eeeeeeeeeehhhh
Jamani kuna mama kuna (kuna)
Kuna mama kuna (kuna)
Kuna nazi kuna (kuna)
Kuna mama kuna (kuna)
Kuna kinyume nyume (kuna)
Kuna kinyume nyume (kuna)
Kuna kimbele mbele (kuna)
Kuna kati kwa kati (kuna)
Kuna kinyume nyume (kuna)
Hasa ku ku kuku, kukuku ku ku kuku kuku
Eeh ku ; eeeh ku, eeeh ku, ku ku ku ku
Jamani kampata sharubaro jama kampeleka nyumbani
Muda wa kumpa mambo kamvalia miwani
Kule hakupaona kafanya kwa pajani
Jamani kuna sasa kuna (kuna)
Kuna embu kuna (kuna)
Kuna mama kuna (kuna)
Kuna dada kuna (kuna)
Ricardo mom kuna (kuna)
Esma twende kuna (kuna)
Oooh udangaji udangaji jama ni habari ya mujini
Wenzako wapewa nyumba kwa magari ya injini
Hivi we dangaji gani hadi leo walala ghini
Ngoja embu kwanza kuna (kuna)
Jifunze kukuna (kuna)
Kwa kushoto kuna (kuna)
Kwa kulia kuna (kuna)
Haya ku ku kuku, kukuku ku ku kuku kuku
Eeeh ku, eeeh ku, eeh ku ; ku ku ku
Aaaaaaah eeeeeeeeehhhhh
Aaah aaah aaaaaaah aaaah
Ooh utaniweza wapi utundu niemeanza zamani mie
(utaniweza wapi utundu niemeanza zamani mie)
Ooh utaniweza wapi kuchepuka niemeanza zamani mie
(utaniweza wapi kuchepuka niemeanza zamani mie)
Oooh utaniweza wapi madanga niemeanza kitambo mie
(utaniweza wapi kuchepuka niemeanza zamani mie)
Oooh utaniweza wapi mjini napajua kitambo mie
(utaniweza wapi kuchepuka niemeanza zamani mie)
Hasa nataka dodoa (haya dodoa)
Nataka katika (haya katika)
Jama najojoa (haya jojoa)
Hamu yanishika (haya dodoa)
Oooh nataka dodoa (haya dodoa)
Eeh nataka katika (haya katika)
Jaama najojoa (haya jojoa)
Hamu yanishika (haya dodoa)
Mama nataka nilewe
(ngoja nilewe nikishaanguka pombe utakunywa wewe)
Ooh jama nataka nilewe eh
(ngoja nilewe nikishaanguka pombe utakunywa wewe)
Aaah hasa nataka dodoa (haya dodoa )
Jamani nataka katika (haya katika)
Aaah jama najojoa (haya jojoa)
Hamu yanishika (haya dodoa)
Naataka dodoa (haya dodoa)
Jama nakatika (haya katika)
Ona najojoa (haya jojoa)
Hamu yanishika (haya dodoa)
Pambee eeeh
Ecouter
A Propos de "Kuna"
Plus de Lyrics de DIAMOND PLATNUMZ
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl