
Paroles de Kilio Chetu
...
Paroles de Kilio Chetu Par RAPCHA
Nazi haziwezi digest
I’m just being curious, i wanna know a lot about sex
Yani nini kiko behind sex
Why maisha ya mwana damu yametawaliwa sana na sex
Huwa naskia watu wakicomplain wasanii kila siku wanatuimbia ngono
Ila mbona hata sisi kwenye vichwa vyetu haipiti lisaa bila akili kuiwaza ngono
Amkia social media tu kwenye memes kama kumi kuna tano zinahusisha ngono
Au kwanini unapogombana na mtu tusi kali atalokupa mara nyingi litahusisha ngono
Okay, Watu wanafanya ngono ili wapate kazi
Na wengine wanaendekeza ngono wanapoteza kazi
Wengine hawana kazi ngono wanaifanya kazi
Kwa wengine ni starehe baada ya kumaliza kazi
Ni Ngumu kusubiri hadi ukubwani
Ikiwa wakubwa wanaipromote sana daily na wanamsingizia shetani
Ukipitiwa mara mbili na shetani jua shetani hawezi kwenda bila wewe kwahyo wewe ndo shetani
People kill kwasababu ya money
Na mara nyingi pichu hazivuki bila money, mtaani
Ugumu wa maisha tuko matatani
Ila Inafika mahali mtu anachagua sex over money
Starehe yake sio bubble gum
Sijawahi kutosheka ngono tangu siku nimeionja first time
Inakuchosha ila unajikaza halafu hata uifanye vipi now utataka tena next time
Nlitamani kuonja ngono maana nkiwa 15 tayari nlikua na taarifa zake nyingi in my head
Lost my virginity kwa dada aliyenizidi miaka zaidi ya 30 naamini Mungu ashasamehe
Nimefeli kuanza mahusiano mengi kwasababu niliongea sana kuhusu sex kwenye talking stage
Demu anaeza play hard to get na unakuja kugundua kuwa ye ni sex addict toka under age
Mahusiano mengi sana yapo tu kufurahishana
Ukitoa sex hamna kitu mnaezahusiana
Inabidi kwanza shida zije muanze kujuana
Shida zinakuja ikiwa tayari mmeshakolezana
Toxic relationship ingenitoa uhai kwa sababu tu ya namna kwenye ngono tulivibe sana
Ishi ukikumbuka kuna watu wana password za mwili wa mpenzi wako zote kabla hamjakutana
Sex iko very very spiritual
Na kuna wenzako wengi wanafanya sex kama ritual
Wengi wakifika njia panda wanaenda both ways nowdays
Keep that story for a few days
I’m just praying for a new day
Ecouter
A Propos de "Kilio Chetu"
Plus de Lyrics de RAPCHA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl