
Paroles de In My Head ft Dwin
...
Paroles de In My Head ft Dwin Par RAPCHA
Nshapigwa chaga kibuti nikala blue tick mi nikamute shuka sivuti msosi hauvuki niko na skuti in my head
Bills nyingi simu haziiti haziitiki sisaidiki sifurukuti ni mahututi nliona futi ka na dead
Maisha parade, wakate mikono ujuzi unabaki kwa head
I’m fuckin ahead of time saa ni mbovu majira nasoma kwa head
In my head sikumbuki bed mpaka nikiwa na bird
Mawazo yangu nageuza bars wanilipe cash nikachonge bed
Plan ni nyingi kwa head
washkaji nguvu mtaji focus kazi nshawastudy
Anaetujudge Mungu mpaji
I just wanna get P-A-I-D
I won’t let them check my ID
Siwezi kuacha wakae beside me
Nahisi ka’ nna kitu inside me
Nina issues in my head
So i keep my eyes open uwanja wa vita hauna excuse
Jichimbie kaburi uone nani atae ku rescue
Tenda wema hii sayari usisubiri neno thank you
Tuna attempt tu meza ikipinduka iko kwetu
Money imestuck in my head
Big big big dream kuwa top in my head
Siwezi lala nina ishu zimestuck in my head
5:00 am niko macho nisha bouce kwenye bed
I’m Talking to God everytime in my head
Me na wanangu tuwe fresh tuwe paid
Mi naishi future niko fast in my head
Big big big dream kuwa top in my head
Hivi nshakuambiaga nishawazaga sana
Labda hizi kudra pia huja na laana
Maana kila kambi mi najichanganya
I wish nifike leo niliposhindwa jana
Nani ataweza bana mpaka kila banner iwe na jina langu huku mjini bana
Mi na wana kisanua njia za panya
Cheki DM za watoto Barbemia kina official Tannah (That’s another turn up)
Muda mwingi nipo kichwani hunipati
Maana niko busy sichati nawaza ni vipi nina top hizi charts
Tushahesabugi mabati sasahivi wambuzinigga
Wananiitaga nigga nikifungulia they always cappin
Ndoto ni nyingi ogopa all of my dawgs wanataka toka
Hakuna kuchoka mpaka tupite na watoto wanaotaka ku top up
Nikiongea na Mungu kichwani nahisi ananiambia usiache kufoka
Ambao hawanipendi kando sinaga bundle I gotta focus
Doller zimestuck in my head
Siwezi lala nina issues zimestuck in my head
5AM niko macho nisha bounce kwenye bed
Then she tells me lay down and she tryna give me head
O lord
Money imestuck in my head
Big big big dream kuwa top in my head
Siwezi lala nina ishu zimestuck in my head
5:00 am niko macho nisha bouce kwenye bed
I’m Talking to God everytime in my head
Me na wanangu tuwe fresh tuwe paid
Mi naishi future niko fast in my head
Big big big dream kuwa top in my head
Ecouter
A Propos de "In My Head ft Dwin"
Plus de Lyrics de RAPCHA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl