Paroles de Nitulie
Paroles de Nitulie Par OTILE BROWN
Mmmh
Ulivyonijaza mpaka pomoni
Mwingine mi sioni
We ndio unaye nifaa
Namshukuru Mola
Maanani wewe kunipa
Wazazi wako wape na radhi
Milele daima,
Urembo wako wa kipekee
Na pendo langu
Kwako wewe
Halina kipimo
Na si lazima nikwambie
Macho yangu ni shahidi(haya)
Nitazame
Utaelewa ninavyohisi(hayaa)
Noo noo
Acha nitulie nitulie
Oooh nitulie
We ndo kiboko yangu mimi
Acha nitulie nitulie
Eeh, unanielewa sana mimi
Acha nitulie nitulie
Oooh nitulie
We ndo kiboko yangu mimi
Acha nitulie nitulie
Eeh, unanielewa sana mimi
Nimeona cha mtima, cha mtima
Cha mtima cha moyo
Kwako nazama mazima
Mazima, wala si kidogo
Basi niambie hunny
Unanipenda kiasi gani?
Penzi langu hatari
Ilishavunjaga mizani
Basi shake it, kidogo (hayaa)
Back to the top, kidogo (hayaa)
Mimi nawe mpaka majogoo
Basi shake it, kidogo (hayaa)
Back to the top, kidogo (hayaa)
Mimi nawe mpaka majogoo
Acha nitulie nitulie
Oooh nitulie
We ndo kiboko yangu mimi
Acha nitulia nitulia
Eeh, unanielewa sana mimi
Acha nitulie nitulie
Oooh nitulie
We ndo kiboko yangu mimi
Acha nitulie nitulie
Eeh, unanielewa sana mimi
Acha nitulie nitulie
Oooh nitulie
We ndo kiboko yangu mimi
Acha nitulie nitulie
Eeh, unanielewa sana mimi
Acha nitulie nitulie
Oooh nitulie
We ndo kiboko yangu mimi
Acha nitulie nitulie
Eeh, unanielewa sana mimi
Ecouter
A Propos de "Nitulie"
Plus de Lyrics de OTILE BROWN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl