Paroles de K.O (Tiktok) Par OTILE BROWN


Ulivyonipiga kitasa 
Mama pumzi inakatakata
Kanipiga butwa twa twa twa!
Hata maneno nang'ata

Hakika ma ulivyowaka
Nashindwa hata kuongea
Mungu fundi bwana kuumba
Utapendeza hata ukisuka shuruma

Umenipiga K.O (Knockout, knockout)
Hiyo make up K.O (Knockout) aah (Knockout) 
Umenipiga K.O (Knockout, knockout)
Nywele up K.O (Knockout) aah (Knockout) 

Do it for the Tik-tok! 
Tiktok! Tiktok! 
Tiktok! Tiktok! 
Tiktok! Tiktok! 

Mama do it for the Tik-tok!  
Tik-tok! Tiktok! 
Tiktok! Tiktok! 
Tiktok! Tik

(Vicky pon Dis)

Ladies watoto wakali mnajijua
Siri za mwanamke kuringa nataka kuona step
Ladies watoto wakali mnajijua
Ka umevaa unapendeza nataka kuona shape
Short of long hair, pretty pretty baby face
Hips lips kiss, red wine taste
Police police tunadai kupewa kesi
Akikuangalia tu unaweza kutoa kadi ya benki
Macho vya kusinzia, zile kuibia ibia
Utasema kala kitu alafu kimemzidia
Kama inataka kupanda mizuka kajiachia

Sarakasi imesamba mateke ya sifia
Picha limekolea nazi hashikiki na msichana
Anataka kumwaga radhi anacheza kainama
Ukuti ukuti kainuka kasimama
Nguo fupi lakini anaona kama inambana

Kipochi chini ka amechina viatu
Msala ndio color na kifiga cha kibantu
Akisema ataka tizi mtaani atachanganya watu
She's smart, she pretty 
And she knmows what she wants to
Ukikompare we unatofauti 
Darassa Otile Brown si knock out

Tiktok! Tiktok!
Tiktok! Tiktok!
Tiktok! Tiktok!
Tiktok! Tiktok!

Umenipiga K.O (Knockout, knockout)
Hiyo make up K.O (Knockout) aah (Knockout) 
Umenipiga K.O (Knockout, knockout)
Nywele up K.O (Knockout) aah (Knockout) 

Do it for the Tik-tok! 
Tiktok! Tiktok! 
Tiktok! Tiktok! 
Tiktok! Tiktok! 

Mama do it for the Tik-tok!  
Tik-tok! Tiktok! 
Tiktok! Tiktok! 
Tiktok! Tik

Ecouter

A Propos de "K.O (Tiktok)"

Album : K.O (Tiktok) (Single)
Année de Sortie : 2021
Copyright : ©2021 Just In Love Music Limited.All rights reserved
Ajouté par : Farida
Published : Aug 03 , 2021

Plus de Lyrics de OTILE BROWN

OTILE BROWN
OTILE BROWN
OTILE BROWN
OTILE BROWN

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl