
Paroles de Risk
...
Paroles de Risk Par KHALIGRAPH JONES
Maybe maybe wanataka kuishi hii maisha yenye na live
Naaa fungua macho kuona kitu wanaona kwa dreams
Naaa niko hustle kila saa najua wanaona crib
Naa niko nazo ukiona pori utashindwa ku breath
Kitu inakusho usirisk
Kitu inakusho usirisk
Kitu inakusho usirisk
Usirisk usirisk
Mzae alinishow nikisoma nta achieve kila kitu na wish
Set my eyes on a diploma but later i had to call it quits
Where there’s a will there’s a way but the will that we knew of was smith
Na reality check iki slap i was rocked outta stage kama chris
You had it easy ukisota ulikua unaomba dad pesa
Me nikiomba dad pesa alikua anapandwa na blood pressure
Maombi na fasting sharia ma thrusday matha alikua church kasha
Foundation ya mtoi wa maria na mtiacha hakunanga cha love letters
Poverty si treath kwangu
Honestly na dread scandals
I’m focusing i can’t fumble
Geography na set angles
So if you see what i see you will know why
Sijawai kuwa friendly na nyinyi
Only loyal to the grind i swear me na mboka ni
Ka pastor mckenzie na dini
Maybach imesundwa kwa lot
Mark x inaskumwa na mboch
Neighbors wanaumwa na roho
Juu maingate imefungwa na lock
There’s no room for anybody who thought watavuna mahali hawajapnda mbegu
And we expect more from you man up uwache ku behave ka kairetu
Maybe maybe wanataka kuishi hii maisha yenye na live
Naaa fungua macho kuona kitu wanaona kwa dreams
Naaa niko hustle kila saa najua wanaona crib
Naa niko nazo ukiona pori utashindwa ku breath
Kitu inakusho usirisk
Kitu inakusho usirisk
Kitu inakusho usirisk
Usirisk usirisk
Nairobi tulikujia mangondo, background ikatuforce tujitume
Fall asleep at your own risk kila saa na dose off inabidi nijichune
Wake up before you piss your bed cause that is the only dream ikona results instant
You only allowed to sleep till the age of 5 but after that you no longer an infant
Aura tuliokotea boondocks
Ondu pale jivanjee na boombox
Romm 16 for the culture, then span akanipeleka kangundo
Before the legacy i had a legacy b4 the 1st whip that i purchased from big bro
Me na franko tulikua na big visions of blu ink
But we were never projected to get dooh
Wanakuchoresha giza unamocholewa ki dagger ina whisker
But me nikifika scene hawawezi bonga ndio ma brother wana whisper
Zako ni story za jaba na bitch stunts
Uchawi jo tunaimada na kismart
Transform to my final on a podium chants ni za baba in distance
So who they call put it in though sheng tezzo bado lingo
Mafioso frakaz i eff up the game with a 9inch mandingo
Mbati kwa bokinya za lv chupa ina display ya lg
Trao fabric equivalent to networth au salary inapatiwa ma mp
Basquiat nkichora wall of fame
Trust me i’m no baller though i’m paid
Last year mlichoma that was lame
Cashier mkiniona know i’m change
Ghasia anabonga what’s he saying
Nawakatsia mnamyongwa what’s to gain
Mnanitaftia makosa it’s all in vain
I’m a craftier mondonga blows kwa brain
Mnahitaji ct scan
But you wont get a break until the beat is done
Niko kwa mansion tho siezi ditch eastlands
A loser ndio hudhania ku risk ni scam
Maybe maybe wanataka kuishi hii maisha yenye na live
Naaa fungua macho kuona kitu wanaona kwa dreams
Naaa niko hustle kila saa najua wanaona crib
Naa niko nazo ukiona pori utashindwa ku breath
Kitu inakusho usirisk
Kitu inakusho usirisk
Kitu inakusho usirisk
Usirisk usirisk
Ecouter
A Propos de "Risk"
Plus de Lyrics de KHALIGRAPH JONES
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl