Paroles de Orosho
Paroles de Orosho Par BOONDOCKS GANG
Fikisha aiii kwani unamedi
Ivisha aiii kwani we ni pedi
Hadai aiii kwani machedi
Naingiza aii ka nina dedi
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka orosho orosho
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka orosho orosho
Kuna watoto waite na wajue Matiang'i
Wakuje waive kibangi
Wajue niko chingri na bado niko jagi
Wajue mi husiaga na sina tu kisiagi
Ukohoe ju mangeus wameninyonga
Na keroma ju amenipata na kipokosh
Umbwa koko pigwa moko
Washa koro no chain kimangoto
Niko local machedah niko mboka
Niko mbogi na home ni kwamboka
Niko dungi ukedi ni ma- aaah
Niko mogoka cheza kadi kwanza poker
Mpe boli kwanza soccer
Niko cheddah na kwanza niko doka
Niko mbuku zishike tu kwa locker
Ni kwa mbulu ati kwanza ameomoka
Piga nduru ati kwanza ameokoka
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka orosho orosho
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka orosho orosho
Nakohoa ju mamoshi zimeninyonga
Nakohoa ju mavela zimeninyonga
Ah nakohoa ju kinyaru kimeninyonga
Nakohoa ju kiwada kimeninyonga
Niko jaba na kamlambe kamekata
Siku ya saba na hizi kutu Ghai Fafa
Doh ya sadaka nilivuta yote shada
Mara kahaba nilimanga bila rubber
Ka wagethaka nina kanuthu rehe haha
Chupa kuchupa ita Delo oka haha
Hioria mathutha ikilandi choma thara
Nina mokuha nathobotha na nina dara
Nina mokuha nathobotha na nina dara
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka orosho orosho
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka (Aaah aaaah)
Ati leo mpaka orosho orosho
Ecouter
A Propos de "Orosho"
Plus de Lyrics de BOONDOCKS GANG
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl