Paroles de Shashula
Paroles de Shashula Par MAGIX ENGA
Enga Enga
(Magix Enga on the Beat)
Munchies zimeshika
Kamejipin mandunya sio upepa
Kamebonya mikate tatu na hakajashiba
Zima shasha pace kanakula nayo noma ama
Wacha nirequest kaboda
Hawa mangoko wanakula hadi ngoma
Hakuna nyongi walichoma hadi filter
Mi ni chinese nakulanga hadi paka
Nina chinku anapendaga kula nyoka
Shada zimelipuka ungedhani nyumba kibanda
Nikuchachisha na mangoko sio washamba
Nikumatisha na mashada joh za Gaza
Washa kidogo, washa kigode
Washa kishasha, hahaha
Enga Enga
If you wanna dis yoh bring it, bring it
Am the King of hit sina time na nyinyi
Mi ndio kamanda wengine mudunge tu mini
Mi ndo (King) na wewe ni kidosho
Umbwa wewe cheza davido kwako
Usituletee hizo mangoma za kitoto
Cheza mangoma za Kenya si makwaito
Kujipendekeza na radio si ya babako
Mi ni don we ni donda
Napiga look vinoma, zako Gikombaa
Akikaa mbaya naku --
Mi ni bazenga nafanya vitu hawezi fanya
Washa kidogo, washa kigode
Washa kishasha, hahaha
Enga Enga
If you wanna dis yoh bring it, bring it
Am the King of hit sina time na nyinyi
Mi ndio kamanda wengine mudunge tu mini
Mi ndo (King) na wewe ni kidosho
The way she looking at me
Ni kama kana joto na kanataka stick
International dada wacha nikushow
Tunamada...
Gyal dem whine take it down low
Show them gyal what you got
Mmmh gyal am loving the way you wanna do
Don’t be shy I want take you to my room
Shit manze naimba kila kitu hii mwaka
But anyway, Enga Enga
If you wanna dis yoh bring it, bring it
Am the King of hit sina time na nyinyi
Mi ndio kamanda wengine mudunge tu mini
Mi ndo (King) na wewe ni kidosho
Washa kidogo, washa kigode
Washa kishasha, hahaha
Enga Enga
If you wanna dis yoh bring it, bring it
Am the King of hit sina time na nyinyi
Mi ndio kamanda wengine mudunge tu mini
Mi ndo (King) na wewe ni kidosho
If you wanna dis yoh bring it, bring it
Am the King of hit sina time na nyinyi
Mi ndio kamanda wengine mudunge tu mini
Mi ndo (King) na wewe ni kidosho
Ecouter
A Propos de "Shashula"
Plus de Lyrics de MAGIX ENGA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl