MATATA Denge cover image

Paroles de Denge

Paroles de Denge Par MATATA

Matata - Denge lyrics

Tuko na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge

Zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
Kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
Na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge

Zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
Kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
Na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge

Ati tuko na madenge na vile waroro wanazungusha vibwenye
Na denge sororo inataka enda na rieng'e
Kunyenye senyenye biggy ka za Wakavinye
Ninyonye nifinye zikipanda sana ndege nishike nivinye

Peleka na mutaratara 
Niwafanye vile nilifanya kina Sarah
Mamiti kijiti kiboko ah kikwara
Haamini kidicki kijogoo akilala

Mkuna mkunaji kama Willy Pozee
Magame ziko juu za mapinky pocket
Design huku tuna wa picky pocket
Inabaki denge ametoa siri zote

Zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
Kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
Na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge

Zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
Kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
Na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge

Tuko mavela na Vela
Chali ya Aloe Vera novela
Ka ni dishi anjera
Mbogi Kibera Mandera

Ey mimi hapa niko makonyagi tu 
Cheki vile ngoko amenipanda juu
Mosota ulalalala kichwa moja na koko
Ngoko anajai tao moja ya kuku

Manga(pekejeng pekejeng)

Baby leo tuna pekejeng pekejeng
Hakuna kilami bonga sheng, bonga sheng
Githaa ikifika tukabeng tukabeng
Na ngoko kameiva ni kapeng ni kapeng

Aaah STOP
Cheza gengetone 
Ikibamba sana wapi nduru weka ringtone STOP
Cheza gengetone 
Mabombe kwa mahaga wamejaza silicone

Tuko na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge

Zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
Kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
Na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge

Zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
Kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
Na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge

Hii ni denge ya makoro na makuro na matoto
Tangu mi nishike doh wananilamba sana lolo
Zile ndoto wao hupata wakiwa usingizi wa pono
Wanasingizia zile sinema za kipono pono
Wanapenda sana ngono slide in konokono
Mi nishanawa mikono ready kuwapa mifano

Mi nina stingo kali kali mpe tena(Weng Weng)
Ugwiji kushinda za China si za ki Taiwan
Zinapiga hadi masoma kung feng Tai Cheng
- ni za mayolo fanya zina peng peng

Niko maji na makoro najiona Ben 10
Na madem wananiborrow 1, 2, 3 feng
Nawapigisha tu michoro zig zaga zeng zeng
Sai nasoma zidi morio mi niko maden deni

Zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
Kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
Na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge

Zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
Kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
Na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge

Piki piki maua, aah ua aah
Jigi jigi naua, aah ua aah
Piki piki maua, aah ua aah
Ni pan pan panua, aah ua
Unaua kama Lucy wa juzi
Kapus keusi msupa tausi 

Nikishika ki ngwe niite boss kubwa
Mi ndo plug wa hii mtaa niite babu kubwa
Mi niwai niwai niwai, masela yes niwai
Mangwai mangwai, mangwai yes mi niwai
Walahi walahi walahi alhamdullilahi
Zimeshika....zimeshika....zimeshika

Zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
Kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
Na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge

Zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
Kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
Na madenge denge denge
Tuko na madenge denge denge

Ecouter

A Propos de "Denge"

Album : Denge (Single)
Année de Sortie : 2019
Copyright : (c) 2019
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jan 22 , 2020

Plus de Lyrics de MATATA

MATATA
MATATA
MATATA
MATATA

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant

A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl