Paroles de Coronavirus (Kolona)
Paroles de Coronavirus (Kolona) Par DANNYP MBOKA
Oooh Coronavirus, shindwe kabisa
Katika jina la Yesu
Amina
Ooh tunalia kwa sababu ya kolona
Virus mbaya sana ambayo haina dawa
Iii tunalia kwa sababu ya kolona
Aaah Mungu Baba tuepushe na kolona
Ilianza huko China imeua watu wengi
Na sasa yasambaa dunia nzima yaogopa
Ilianza huko China imeua watu wengi
Na sasa yasambaa dunia nzima yaogopa
Hatari kuliko Cancer, hatari kuliko Ukimwi
Hatari kuliko mwaki, Kolona inatisha
Hatari kuliko Cancer, hatari kuliko Ukimwi
Hatari kuliko mwaki, kolona inatisha
Ooh tunalia kwa sababu ya kolona
Virus mbaya sana ambayo haina dawa
Iii tunalia kwa sababu ya kolona
Aaah Mungu Baba tuepushe na kolona
Rais wetu Kenya, wakenya tunaomba
Usiruhusu hao waChina waingie hapa Kenya
Hata kama ni madeni waambie tutalipa
Usalama wetu kwanza biashara ni baadae
Rais wetu Kenya, wakenya tunaomba
Usiruhusu hao waChina waingie hapa Kenya
Hata kama ni madeni waambie tutalipa
Usalama wetu kwanza biashara ni baadae
Ooh tunalia kwa sababu ya kolona
Virus mbaya sana ambayo haina dawa
Iii tunalia kwa sababu ya kolona
Aaah Mungu Baba tuepushe na kolona
Wakenya tuombeni Mungu atulinde
Wakristo tuombeni Corona itashindwa
Waislamu tuombeni Mungu atulinde
Dini zote tuombeni Corona itashindwa
Corona haijui tajiri, Mungu atulinde
Corona haijui masikini, Corona itashindwa
Hatari kuliko ukimwi, Mungu atulinde
Hatari kuliko cancer, Corona itashindwa
Inatisha mpaka Uropa, Mungu atulinde
Inatisha Marekani, Corona itashindwa
Inatisha Africa nzima, Mungu atulinde
Serikali itulinde, Corona itashindwa
Ilinde mipaka yetu, Mungu atulinde
Na Mungu tusaidie, Corona itashindwa
Mungu Baba wewe ndio tegemeo letu
Na tuna imani kwamba utatulinda
Na Corona haitaweza kutufikia
Amina
Ecouter
A Propos de "Coronavirus (Kolona)"
Plus de Lyrics de DANNYP MBOKA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl