Paroles de For You
Paroles de For You Par NIMO
Furaha unayonipa moyoni
Aii ni mimi ndo naelewa
Umeniguza moyoni
Na tabasamu ninayo mimi
Aii Baba ni wewe tu
Umeniguza moyoni
Na nikiwa nawe kwa upande wangu
Nimwogope nani maishani
Ila ni wewe umeniguza moyoni
Na ukiwa nami kwa upande wangu
Nimwogope nani maishani
Ila ni wewe umeniguza moyoni
My love for you
Will never die die die
My love for you will never fade away
Umeniguza moyoni
My love for you
Will never die die die
My love for you will never fade away
Umeniguza moyoni
Nikiwa chini unaniinua baba
Pendo lako kwangu naiona daily ooh
My heart belongs to you eh eh
Na vile umenilove nakulove
This love is real love
Yes it's real love
Yeah eh aaii
We ukiwa nami kwa upande wangu
Nimwogope nani maishani
Ila ni wewe umeniguza moyoni
Na ukiwa nami kwa upande wangu
Nimwogope nani maishani
Ila ni wewe umeniguza moyoni
My love for you
Will never die die die
My love for you will never fade away
Umeniguza moyoni
My love for you
Will never die die die
My love for you will never fade away
Umeniguza moyoni
My love for you
Will never die die die
My love for you will never fade away
Umeniguza moyoni
My love for you
Will never die die die
My love for you will never fade away
Umeniguza moyoni
Ecouter
A Propos de "For You"
Plus de Lyrics de NIMO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl