Vua Nguo Paroles

NAY WA MITEGO Tanzanie | Bongo Flava,

Paroles de Vua Nguo


Vua vua vua vua vua nguo
Vua vua vua vua vua nguo
Vua vua vua vua vua nguo
Vua vua vua vua vua nguo

Wahuni vipi mambo, poa
Oya vipi mambo
Madem vipi mambo, poa
Attention funga mkanda

Tushachoma kibanda
Kimau mau kwenye kitanda
Rrrrah mashetani yamepanda
Kiti kamwaga manyanga

Na wakifunika, tunafunua
Funua, funua, funua
Wakisafisha tunachafua
Chafua, chafua, chafua

Walidhani kipolo kitachacha(Oooh bado)
Leo mpaka majogoo kuna kucha(Oooh bado)
Yaani mwendo wa kondoo, waza kichwa(Oooh bado)
Ikitoka na shombo safisha

Vua vua vua vua vua nguo
Vua vua vua vua vua nguo
Vua vua vua vua vua nguo
Vua vua vua vua vua nguo

Oya wanangu eeh, vua roho ya kitete
Leo wakizingua vua pete
Wakiweka tuweke
Wanangu wa mapanga Temeke

Vua! Hata kama ukichafua shemeji atafua
Wazee wa kukwarua, hapo pa tuzali bandika bandua

Walidhani kipolo kitachacha(Oooh bado)
Leo mpaka majogoo kuna kucha(Oooh bado)
Yaani mwendo wa kondoo, waza kichwa(Oooh bado)
Ikitoka na shombo safisha

Vua vua vua vua vua nguo
Vua vua vua vua vua nguo
Vua vua vua vua vua nguo
Vua vua vua vua vua nguo

Kiki kiki ki tamba juu
Weka ametamba juu
Wazee wa kuchoma moshi uende juu
Moshi uende

Leo kutanga tanga na madawa
Mgonjwa kapagawa, ahuu ha!
Upande mguu sawa
Zungusha kama mbawa, ahuu ha!

Vua vua vua vua vua nguo
Vua vua vua vua vua nguo
Vua vua vua vua vua nguo
Vua vua vua vua vua nguo

NAY WA MITEGO (11 paroles)

Emmanuel Elibariki, plus connu sous le nom de Nay Wa Mitego, est un artiste rappeur tanzanien.

Laisser un commentaire