
Paroles de Pisi
...
Paroles de Pisi Par MONI CENTROZONE
Hapo kwa nyuma ndembe
Kwa mbele mbele dede
Akicheka akinuna yente
Ni bonge la bebe
Hapo kwa nyuma ndembe (ndembe)
Kwa mbele mbele dede (dede)
Akicheka akinuna yente (yente)
Ni bonge la bebe
Ni bonge la
Pi pi pi
Si si si
Bonge la
Pi pi pi
Si si si
Aloohh
Acheni watoto wazuri
Waje kwan ngu
Nijilie mambo ya, ngu
Ndo vitu vya, ngu
Nakama kufa nife kivya
Nimeokote da da, de de, di di, do do (da da, de de, di di, do do)
Ba ba, be be, bi bi, bo bo (ba ba, be be)
Huyu mtoto ni pisi pisi
Huyu mtoto ni pisi pisi
Huyu mtoto ni pisi pisi
Huyu mtoto ni pisi pisi
Kuanzia nywele mpaka kucha
Huyu mtoto ni pisi pisi
Huyu mtoto ni pisi pisi
Kuanzia nywele mpaka kucha
Huyu mtoto ni pisi pisi
Huyu mtoto ni pisi pisi
Kuanzia nywele mpaka kucha
Huyu mtoto ni pisi pisi
Nimeokote da da, de de, di di, do do (da da, de de, di di, do do)
Sio kibaba ba ba, be be, bi bi, bo bo (ba ba, be be, bi bi, bo bo)
Aaf mama ushakunika hadi ukweni round
Navile unependeza hizo nywele kwa uncle t
Ume fit plan a, na umefit plan b
Katoto cha zoo
Na mpaka naimba mama amina weee
Hata nukimba bila nna wee
Na hilo chetu so mchina wee
Tuna enpa shopping afu dinner wee
Ecouter
A Propos de "Pisi"
Plus de Lyrics de MONI CENTROZONE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl