NAVY KENZO Bampa 2 Bampa cover image

Paroles de Bampa 2 Bampa

Le duo tanzanien Navy Kenzo (Aika Navy Kenzo et Nahreel) nouvelle chanson "Bampa 2 Bampa&quo...

Paroles de Bampa 2 Bampa Par NAVY KENZO


Upendo usitie vigingi
Kitandani mwendo wa bakora
Kichwani ibaki vumbi
Meno kusaga mkongora

Navyoliseti loketi
Latema sumu ka dondora
Maji kulowesha nyeti
Kifo cha mende kuchochora

Marafiki wa shuka
Ni kitanda na godoro
Ofisi yake mifupa
Sio supu ya kongoro

Au kisa ufundi maujuzi
Ndio unifanye vibaya
Nivike sura ya mbuzi
Nikufichie mabaya

We are bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Go down mie bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Eeh nimekuwa chizi 
(Eeh nimekuwa chizi)
Majinuno kilaza na sijiwezi
(Mi kilaza na sijiwezi)

Majuto ni mjukuu
Naridhika na wewe tu
Kukuacha sidhubutu
Usiniache weee

Tujinafasi kibamba taa (Uwiii uwii)
Nitakuja kujuta ukinikataa (Uwiii uwii)
Tujinafasi kibamba taa (Uwiii uwii)
Nitakuja kujuta ukinikataa (Uwiii uwii)

We are bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Go down mie bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Bampa bampa
The man is a hunter
Nampa nampa
Chochote anataka

Nipe tepe tepe mi nilowe
Kisu chako nikinowe
Umenishika kwenye roho wee
Eeey...

Marafiki wa shuka
Ni kitanda na godoro
Ofisi yake mifupa
Sio supu ya kongoro

Au kisa ufundi maujuzi
Ndio unifanye vibaya
Nivike sura ya mbuzi
Nikufichie mabaya

We are bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Go down mie bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Tujinafasi kibamba taa 
Nitakuja kujuta ukinikataa
Tujinafasi kibamba taa

Ecouter

A Propos de "Bampa 2 Bampa"

Album : Story of The African Mob (Album)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jul 31 , 2020

Plus de lyrics de l'album Story of The African Mob

Plus de Lyrics de NAVY KENZO

NAVY KENZO
NAVY KENZO
NAVY KENZO
NAVY KENZO

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl