Paroles de Sitaki
Paroles de Sitaki Par MBOSSO
Iyo trone
Mimi, wewe, mimi
Ntakufa na wewe
Mimi, wewe, mimi
Ntakufa na wewe
Ni Baraka za mungu na malaika
Zimefanya mi nawe tujuane
Sina shaka maana imeandikwa
Ndege warukao wafanane
Sisikii la muadhini
Wala la mnadi swala
Tumelishana yaminia
Kwa dua sio kafara
Sio wa nyuzi tisini
Wala buku shin dara
Mambo ya kuzinizini
Tuwe halali twahala
Kama mapenzi ugonjwa wa mado
Mi kabisa kengeza
Na kama changuoni ndo kikulacho
Mi huyu kanimeza
Na sitaki nishauriwe
Sitaki nishauriwe
Na sitaki nishauriwe
Sitaki nishauriwe
Ngamia wangu
Anifaae jangwani
Nimemuombea dua tusushie njiani
Ngamia wangu
Anifaae jangwani
Nimemuombea dua tusushie njiani
Oh oh usingizi wangu
Zeze la kitandani
Nimemuombea dua tusushie njiani
Ngamia wangu
Anifaae jangwani
Nimemuombea dua tusushie njiani
Kama mapenzi ugonijwa wa macho
Mi kabisa kengeza
Na kama changuoni ndo kikulacho
Mi huyu kanimeza
Na sitaki nishauriwe
Sitaki nishauriwe
Na sitaki nishauriwe
Sitaki nishauriwe
Esh
Ai makopa
Hanimwagia makopa jamani
Ai makopa
Hanimwagia makopa jamani
Esh
Ai makopa
Hanimwagia makopa jamani
Ai makopa
Hanimwagia makopa jamani
Aii ma ma ma ma
Kanimwagia makopa jamani
Ai makopa
Hanimwagia makopa jamani
Aii mwa mwa mwa mwa
Hanimwagia makopa jamani
Aii ma ma ma ma
Kanimwagia makopa jamani
Ecouter
A Propos de "Sitaki "
Plus de Lyrics de MBOSSO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl