Paroles de Matatu
Paroles de Matatu Par MATATA
Tao mbao mbao Tao mbao mbao
Tao mbao mbao Tao mbao mbao
Beba hao hao Beba hao hao
Beba hao hao Beba hao hao
Tao mbao mbao Tao mbao mbao
Tao mbao mbao Tao mbao mbao
Beba hao hao Beba hao hao
Beba hao hao Beba hao hao
Noikiwa juu , Ya matatu mi hufeel vibes ture
Riding through the city me and you baby me and you
Noikiwa juu , Ya matatu mi hufeel vibes ture
Riding through the city me and you baby me and you
Kamagera tuko area point a,a
Na moshogi ndio zetu ati ehh ,ehh
Makarao wanaseme tuko reckless
Juu nganya imejaza vi-excess
Pitia jeri okata maodinare ordina
Pale umo okota wakadinali
Octobmbitho ukifika namba nane
Hio area kaa ritho juu ni usiku wa manane
Vroom vroom na pull up kwenye matatu
Zoom zoom pale mbele okota wale watatu
Mhhmm mhmm kuna mtu ananukisha kiatu oya
Pale nyuma tupendane,oya
Create room room niko umo
Umoinner mat za zima , Zina jina paradiso
Ndio ma winner embassava, Naenda dinner
Mayanga mayanga, Nganya ni mayanga
Kaa huna fara, Buda kanyaga kanyaga
Noikiwa juu Ya matatu mi hufeel vibes ture
Riding through the city me and you baby me and you
Noikiwa juu Ya matatu mi hufeel vibes ture
Riding through the city me and you baby me and you
Tao mbao mbao Tao mbao mbao
Tao mbao mbao Tao mbao mbao
Beba hao hao Beba hao hao
Beba hao hao Beba hao hao
Utapanda kba ama kbc
Sjtaki kuenda route ya otc ah ah
Twende home upande kdd
Ukalie kicc,ukikunywa kcc
Niko squodi mami hapa najilea najilea
Nikulipie mahari ama fare? ama fare ?
Nikupatie maua au mimea
We in miracle na mi ni pastore deya
Tulipandianga kencom
Na gari za kuendaa majengo
Tulikuwanga malevels
Tukitoka dunda mimi na warembo
Before tufike hao,konda alidai
Fare ni mbao mbao
Nililipa thao Na nikasahau
Juu pengting alikuwa amenishika ka karao
Noikiwa juu Ya matatu mi hufeel vibes ture
Riding through the city me and you baby me and you
Noikiwa juu Ya matatu mi hufeel vibes ture
Riding through the city me and you baby me and you
Tao mbao mbao Tao mbao mbao
Tao mbao mbao Tao mbao mbao
Beba hao hao Beba hao hao
Beba hao hao Beba hao hao
Tao mbao mbao Tao mbao mbao
Tao mbao mbao Tao mbao mbao
Beba hao hao Beba hao hao
Beba hao hao Beba hao hao
Ecouter
A Propos de "Matatu"
Plus de lyrics de l'album Unaware (EP)
Plus de Lyrics de MATATA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl