Paroles de Dream ya Kutoka Kwa Block
Paroles de Dream ya Kutoka Kwa Block Par BURUKLYN BOYZ
Tano Nane uh, Jo
Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich, tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong

Sasa wanalipa kuwatch nikipull-up na ki riftle
Society inadhani tunafumble
Ati wao wanacheki kwa mneti kama ma idol
Wanatupenda ju tunaenda viral
Nilikuwa kwa mood mbaya nikaseti kishash nikakuwa ital
Kwa ground mambo ni nare maboy wanafaa wareform
Lakini watareform aje
Na washajua ganji ilitoka na ndo
Niko safe niko seti hizi zone
Huwezi nishow venye we ni mrong
Kama anaita mbogi am sure niko na watu strong
Hizi streets inataka kuwa mpole man yoh ama utapangwa
Mresh wako asicheke na mgoon
Huku East ama atamangwa
Re-wrecker huko ukidhani atajali hautalambwa
Mkono zinateta before atolewe chai ataganda
(58 58)
Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich, tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong
Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich, tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong
Uh nilikuwa na chong na mi nadai hizo matrophy
Na ka unani-owe ma ganji man
Mi nadai kuwa na profit
That's why mi hukuwa kwa office
Mi ni mblack tu na rock ma koti
Let see mi hutrust manoti
Maisha yangu naachia Sir God
Uh flow ni ya kimaajabu na hii beat ni chopi
B Boys si huset matrends na si huset ma subject
Na nimekam nimerock my blue fam, chini ni red carpet
Mafan wanadishi talent hadi day watablow hio trumpet
Shash iko jo kwa chalice mi najikill close hio curtain
Na mi sidai ma opps wajue vile nilitoa hio pattern
Huku daily si hurun ma opps na unaeza dhani ni circus
Buruklyn Boyz tulileta frakass kama ni drill close hio chapter
Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich, tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong
Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich, tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong
Ecouter
A Propos de "Dream ya Kutoka Kwa Block"
Plus de Lyrics de BURUKLYN BOYZ
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl