MATATA Pombe Na Kizungu Mingi cover image

Paroles de Pombe Na Kizungu Mingi

Paroles de Pombe Na Kizungu Mingi Par MATATA


Hata mzine taa, bado tutawasha
Hata mfunge bar, bado ni tamasha
Hata mfiche ng’aa, ng’o katapanda
Juu ya kegi ma ketepa, mmh na maganja
Bado unataka beer, eeh nipe beer
Bado unataka beer, buda nipe beer
Bado unataka beer, argh nipe beer
Utaenda kulipia

Pombe na kizumgu mingi
Pombe na kizumgu mingi
Pombe na kizumgu mingi aah
Am so fantabulous
Pombe na kizumgu mingi
Pombe na kizumgu mingi
Pombe na kizumgu mingi aah
Braggadocious

Pea huyu beer, na umpee bill pia
Hii ya leo nayo ni lazima atalipia
Unapiga munju beer, kwani uko in love pia
Mi ni charity, we ushaiskia
Nishai kutusi mimi, kwani nishakutusi pia
Ushai kunywa beer ukaanza kulia
Ni kama johnte kuna vitu anapitia
Ndunge zake mbill, n’nitalipia
Leo ni sato, ama Sunday
Juu tulianza kukkunywa on a Monday
Kila siku inakuwanga sherehe
Imefanya mimi na bibi tukosane
Pombe ya kisirani
Tulikunywa tukalala barabarani
Huyu ako kwa kitanda yangu ni nani
Ama ni bibi ya jirani
Bado unataka beer, eeh nipe beer
Bado unataka beer, buda nipe beer
Bado unataka beer, argh nipe beer
Utaenda kulipia

Pombe na kizumgu mingi
Pombe na kizumgu mingi
Pombe na kizumgu mingi aah
Am so fantabulous
Pombe na kizumgu mingi
Pombe na kizumgu mingi
Pombe na kizumgu mingi aah
Braggadocious

Venye niko maji naona ni ka we ndo nadal
Niko na ganji, na connections you guy, my guy
Nina ma tender, na mavela mi ndio supply
Bonga na waiter, ataleta please don’t be shy aaah
Pombe ya Sunday, taamu sana
Pombe ya Monday, chunga baana
Pombe ya saare, ni swara sana
Ya kuchanganya , aaah blaanda bana
All you can drink we don’t do, take away
Mfuko size ya, biligates
Kizungu ya ku parambulate
Can you relate?
Monday ni kama Saturday
Birthday ni public holiday
Nitawacha pombe, nitawacha pombe
But not today
Hata mzine taa, bado tutawasha
Hata mfunge bar, bado ni tamasha
Hata mfiche ng’aa, ng’o katapanda
Juu ya kegi ma ketepa, mmh na maganja
Bado unataka beer, eeh nipe beer
Bado unataka beer, buda nipe beer
Bado unataka beer, argh nipe beer
Utaenda kulipia

Pombe na kizumgu mingi
Pombe na kizumgu mingi
Pombe na kizumgu mingi aah
Am so fantabulous
Pombe na kizumgu mingi
Pombe na kizumgu mingi
Pombe na kizumgu mingi aah
Braggadocious

Ecouter

A Propos de "Pombe Na Kizungu Mingi"

Album : Pombe Na Kizungu Mingi (Single)
Année de Sortie : 2021
Ajouté par : Farida
Published : Oct 08 , 2021

Plus de lyrics de l'album Unaware (EP)

Plus de Lyrics de MATATA

MATATA
MATATA
MATATA
MATATA

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl