Paroles de Oyole Par MASTAR VK

 

Wapi kelele Kayole
Nimetambua Kayole
Kwetu ni hapa Kayole
Nasema nipate Kayole
Kayole, Kayole
Nasema nipate Kayole
Kayole, Kayole
Nasema nipate Oyole

Wapi kelele Kayole
Nimetambua Kayole
Kwetu ni hapa Kayole
Nasema nipate Kayole
Kayole, Kayole
Nasema nipate Kayole
Kayole, Kayole
Nasema nipate Oyole

Cheki wasupa na si machura
Cheki manganya zetu zinavuma
Hatuna pupa kama wa Runda
Bora Uhai, ata ka hakuna nyumba
Sivunji mfupa, ngoma si rhumba
We ruka ruka ju ngoma inadunda

Yole ni yetu, huku ni kwetu
Kuringa wachia ule Wema Sepetu
Hatuna wivu, hatuna chuki
Wanatusifu na mabinduki
Wanasemanga sisi ni wezi
Lakini ukweli ni hawatuwezi

Wanatumada kama makuku
Kuchwa inakatwa kama ya supu
Fika Langata vijana tupu
Manze nahisi uchungu

Lakini bado tomba wazungu
OG anabonga kizungu
Nipate kando tu kwenye njugu
Alafu ndio nipate nguvu

Kama ni Wambo shika hiyo njumu
Itana ukipigwa na rungu(uuiii)
Ni nyama na inaonja mabuyu
Napenda wasupa wa huku(rrraah)

Wapi kelele Kayole
Nimetambua Kayole
Kwetu ni hapa Kayole
Nasema nipate Kayole
Kayole, Kayole
Nasema nipate Kayole
Kayole, Kayole
Nasema nipate Oyole

Wapi kelele Kayole
Nimetambua Kayole
Kwetu ni hapa Kayole
Nasema nipate Kayole
Kayole, Kayole
Nasema nipate Kayole
Kayole, Kayole
Nasema nipate Oyole

Starehe gharama tupate jaba
Tire washanga tunachomanga
Sisi si washamba ni Ganja Farmer
Wanatugwaya ju ni mafala

Cheza na mimi, kijana niGaze
Toka na sunda mshipi nakaza
Kama ni vita unataka itambe
Ju am the fucking Afande

Kuja na rende 
Na mimi nikuje na jeshi la wokovu ya Sunday
Tupige magoti tuombe
Baadaye tukunywe kikombe
Adui mpende, usimtende
Pika kasembe muite ademe

Usiku halali, 
Kumbe uliangusha matembe kwa maji ya ugali
Na we hujali ni vile hiyo chuki 
Lazima ikome jamani

Kayole yetu si ya mathako
Wajanja wengi wamezingira kwako
Funga mlango
Msupa wako ndio wangu wa kando
Nina mipango 
Vile umesota tutafanya mchango
Buda fukuza migatho, eey

Wapi kelele Kayole
Nimetambua Kayole
Kwetu ni hapa Kayole
Nasema nipate Kayole
Kayole, Kayole
Nasema nipate Kayole
Kayole, Kayole
Nasema nipate Oyole

Wapi kelele Kayole
Nimetambua Kayole
Kwetu ni hapa Kayole
Nasema nipate Kayole

Kayole, Kayole
Nasema nipate Kayole
Kayole, Kayole
Nasema nipate Oyole

Msupa nipate Oyole, Oyole
Nasema nipate Oyole, Oyole
Nasema nipate Oyole, Oyole
Nasema nipate Oyole, Oyole


 

Ecouter

A Propos de "Oyole"

Album : Oyole
Année de Sortie : 2019
Copyright : All rights to the owner.
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Apr 17 , 2019

Plus de Lyrics de MASTAR VK

MASTAR VK
MASTAR VK
MASTAR VK
MASTAR VK

Commentaires ( 1 )

.
David 2020-04-09 11:52:39

I love singing... Mastar vk is my mentor

See alsoVous aimeriez sûrementEssayez l'application Mobile

A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus riche collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2020, New Africa Media Sarl