Denda Paroles

MASTAR VK Kenya | Afropop, Pop

Paroles de Denda


Akitembea zinabounce zikicheza
Akikimbia zinabounce zikicheza
Akidance zinabounce zikicheza
Cheki zinabounce zikicheza

Ati di-didi denda, di-didi denda 
Cheki akicheza tu vile zinaenda
Di-didi denda, di-didi denda
Ah-ah ah-ah vile zinaenda

Ati di-didi denda, di-didi denda 
Cheki akicheza tu vile zinaenda
Di-didi denda, di-didi denda
Ah-ah ah-ah vile zinaenda

Di-didi denda, ki vile zinacheza
Beiby me napenda ukipanda ju ya meza
Nibet ka calendar me najua tutaweza
Kwangu we ndo avatar the last body bender

Ki mmmh di-didi denda, nichum ukipenda
Wacha kunilenga ka ghorofa nitakujenga
Beiby me ndio Njenga, niite bazenga
Naeza bonga na wahenga

Miguu kwa mabega nikitaka kukuzega
Hey, kukuzega 
Hey, nikitaka kukuzega
Hey, kukuzega 

Ati ati di-didi denda, di-didi denda 
Cheki akicheza tu vile zinaenda
Di-didi denda, di-didi denda
Ah-ah ah-ah vile zinaenda

Ati di-didi denda, di-didi denda 
Cheki akicheza tu vile zinaenda
Di-didi denda, di-didi denda
Ah-ah ah-ah vile zinaenda

Niko mavitu na mtoi nimekemba
Anataka kitu na sitoi ni mapema
Anachezea kama toy na ashahema
Na nikichapa na ile angle ya Neymar

Napiga beep beep beep, ondokea njia
Natuki sip sip sip, gongelea bia
Baby si una big hips haga karibia
Utakula fish chips ama kuku na bhajia

Ukitaka we ni call na baby utafurahia
Nipe saba inamia, beiby naeza pandilia
Cheki wanaziangalia
Penduka mami nataka waone hii ukinikalia

Ati di-didi denda, di-didi denda 
Cheki akicheza tu vile zinaenda
Di-didi denda, di-didi denda
Ah-ah ah-ah vile zinaenda

Ati di-didi denda, di-didi denda 
Cheki akicheza tu vile zinaenda
Di-didi denda, di-didi denda
Ah-ah ah-ah vile zinaenda

Zinaenda
Ati ati vile zinaenda
Eh eh eh eh enda
Ati vile zinaenda

Akitembea zinabounce zikicheza
Akikimbia zinabounce zikicheza
Akidance zinabounce zikicheza
Ah-ah ah-ah vile zinaenda

Ati di-didi denda, di-didi denda 
Cheki akicheza tu vile zinaenda
Di-didi denda, di-didi denda
Ah-ah ah-ah vile zinaenda

MASTAR VK (4 paroles)

Mastar Vk is one of the hottest rapper in Kenya hailing from Kayole 1960. On January 2019, Mastar Vk released a song praising his hood "Kayole" which gained massive airplay from local radio stations hence rising to stardom.

Laisser un commentaire