Paroles de Ni Real
Paroles de Ni Real Par MASTAR VK
Pita na mwenye anajipa
Fanya ile mboka inalipa
VK niduu nini ujue nakupenda
Nikasema chokora mapipa
Niliacha kusuka wasupa
Niliachia wenye wana pupa
Wale wa kuwakunywa
Huwezi nikunywa nitavunja hio chupa
Kitabu nilishindwa na mbuku
Ka daily mangori zikifanyika chuo
Mamode ni mi walishuku
Walidhani kijana ni jinga
Kumbe kijana ni genius
Venye naroga hadi mamode watashika hio ngoma viserious
Ju Afande ndo senior
Mandege ni safi maziwa
Shamba ukishindwa kulima hii ni Kanairo na utalimiwa
Hii mchezo sichezi na jezi, ukiringa sikumbembelezi
Mboka naichapa nipate maganji we buda unakuwanga mlazy
Wakasema hio kichwa ni mbaya, we VK umetupa kawaya
Nikasema ni sawa nataka madoh, wasupa wamekuwa mamalaya
Siku hizi mapenzi gharama hawa mangeus wanakuweka kwa fire
Sponyo anambeba na Harrier, we uko na nduthi na bado umehire
Fala anakuja kujoke na mimi, wewe buda sicheki
Na bado anataka kuchill na mimi, hio ujinga sitaki
Situpi githaa na mtu anataka kushinda ka daily ako hepi
Siku hizi mandume wako na udaku ni kama wamemea majegi
Wacha nikuambie siri, Kanyari bado anahubiri
Sadaka mnatoanga mangiri hii inaitwa kuchezwa akili
Ati utavuna ulichopanda mbegu ukapanda ya pili
Kanitha siku hizi ni baze ya kazi wafuasi wanalipia injili
Na bado tuko na siasa, wabunge wamejaza vinyasa
Wabunge wamejaza vinyasa
Majenge wanalipwa na hongo na media inaonyesha uongo
Msanii ni Khali Omollo buda amebeba industry
Hamuoni tuko kwa mgongo, itabaki umetumia ubongo
Shakila anatafta kiki, kuslay na vumbi ya Mwiki
Kwa live atuonyeshe matiti, remote kwa shimo ya miti
Genje kama kawa, king ni kaka sawa
Mi situmii madawa mangwelo zihunipa mabawa
Hii ngoma ni real iwabambe
Kama una chuki jibambe
Sukari ni ya Zuchu usilambe
We chapa hio kitu inyambe
Hizi simu zihuharibu vichwa
Turudi maenzi za kabambe
Hio kutu haiwezi kufichwa
Mkiwa wawili katambe
Hio kutu haiwezi kufichwa
Mkiwa wawili katambe
Mkiwa wawili katambe
Yeah yeah yeah yeah ey
Hii ngoma ni real iwabambe
Ni real, ni real ey yeah
Ni real, ni real
Hii ngoma ni real iwabambe
Ni real, ni real ey yeah
Wewe!
Ecouter
A Propos de "Ni Real"
Plus de Lyrics de MASTAR VK
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl