Paroles de Why
...
Paroles de Why Par MARIOO
Kaniba
Kutoka alooh
Mmmh
Baby naomba tujirekodi, why?
Kumbukumbu, why?
Siku nikikumisi, why?
Naitazama tu, naijua iyo
Alooh
Kuna mwizi aliiba simu yangu
Kashindwa kuiuza kairudisha
Unajua kwanini
Mimi mjanja weeh
Kuna kibaka kapora tambo langu
Kashindwa kuliuza kalirudisha
Unajua kwanini
Nimeweka password
Hasa unaogopa nini weeh
Unaogopa nini weeh
Hasa unaogopa nini weeh
Unahofia baby not comfortable comfortable
Comfortable comfortable
Why you are not comfortable comfortable
Comfortable comfortable
Baby naomba tujirekodi, why?
Kumbukumbu, why?
Siku nikikumisi, why?
Naitazama tu, naijua iyo
Baby naomba tujirekodi, why?
Kumbukumbu, why?
Siku nikikumisi, why?
Naitazama tu, naijua iyo
Sheee
Si unapendaga tiktok eeh
Tupate naka ring light eeh
Naona shega bado poa
Alooh
I don’t like it
Si unapenda snapchat eeh
Tuchape vita eeh
Naona shega bado poa
Alooh
I don’t like it
Baby not comfortable comfortable
Comfortable comfortable
Why you are not comfortable comfortable
Comfortable comfortable
Baby naomba tujirekodi, why?
Kumbukumbu, why?
Siku nikikumisi, why?
Naitazama tu, naijua iyo
Baby naomba tujirekodi, why?
Kumbukumbu, why?
Siku nikikumisi, why?
Naitazama tu, naijua iyo
Ecouter
A Propos de "Why"
Plus de Lyrics de MARIOO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl