
Paroles de Tete
...
Paroles de Tete Par MARIOO
Baby nichumu hadharani, mwaaaaah
Mi nataka waumie
Ah, baby nikissi hadharani, mwaaaaaah
Mi nataka waumie
Oh salale, ulikuwa wapi kipindi nalizwa
Ulikuwa wapi kipindi naumizwa
Ulikuwa wapi kipindi nanyanyaswa
Mimi vile nakupenda
Akitoka mama
Anafwata mpenzi
Ama ye ndio wewe
You are my happiness
Wakitoka wazazi na anafwata mpenzi
Ama ye ndio wewe
You are my happiness
Mi kwako tefe (Tetete, tetete, tetete)
Ukitaka nibebe mgongoni (Tetete, tetete, tetete)
Nifunze kutembea (Tetete, tetete, tetete)
Ah tetete
Ah Ukichanganya asali, fanta, banana
Ndo ulivyo mtamu sweet sweet
Sexy, sexy body ya fanta
Lips ina taste we pipi pipi
Ooooh baby nakupenda, nakukunda
Sogea nikupambe, sogea nikubusu
Kutana, mon feré je t’aime
Te amo baby eeh
Akitoka mama
Anafwata mpenzi
Ama ye ndio wewe
You are my happiness
Wakitoka wazazi na anafwata mpenzi
Ama ye ndio wewe
You are my happiness
Mimi kwako tefe (Tetete, tetete, tetete)
Nidekeze kama mtoto (Tetete, tetete, tetete)
Ukitaka nibebe mgongoni (Tetete, tetete, tetete)
Nifunze kutembea (Tetete, tetete, tetete)
Ah tetete
Ecouter
A Propos de "Tete"
Plus de Lyrics de MARIOO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl