
Paroles de Mvua
...
Paroles de Mvua Par MARIOO
Mungu ndio mtaalamu
Mtaalamu wa kumatchisha
Ndomaana akaamua kunipa wewe eeh
Ona tulivyomatchisha
Ah Mungu, fundi
Dongo kalifinyanga
We mzuri hauna mapepe pepe
Nami magenta sinanga
Moja, mbili
Na tatu, namba zote za kwako
Mi kama maji mtungini
Sina makando kando
Baby mimi na wewe
Ni mtu na mtu wake eeh
Sifurukuti, siruki
Ndege ina mti wake
Mimi na wewe
Mtu na tamu yake
Nishapatikana, sijapatikana
Na kama inanyesha inyeshe
Ooo mvua
Mvua nyesha mvua
Huku nataka nikumbatiwe mimi
Mvua nyesha mvua
Ooo mvua
Mvua nyesha mvua
Unataka nipetiwe mimi
Mvua nyesha mvua, mvua
I wish ningekuwa na uwezo ni mjengee mama ake
Nyumba kali Mombasa
Mama mzaaa chema
Kaweza kaweza tena
Ningekuwa na uwezo ningemletea baba ake
Hata ka Verossa
Baba mzaaa chema kaweza
Mana ingekuwa mapenzi Safari, safari
Muda huu niko Kigoma mwisho wa reli
Oh baby mimi na wewe
Ni mtu na mtu wake
Sifurukuti, siruki
Ndege ina mtu wake
Mimi na wewe
Mtu na tamu yake
Nishajipata, sijapatikana
Na kama inanyesha inyeshe
Ooo mvua
Mvua nyesha mvua
Huku nataka nikumbatiwe mimi
Mvua nyesha mvua
Ooo mvua
Mvua nyesha mvua eeh
Unataka nipetiwe mimi
Mvua nyesha mvua, mvua
Ecouter
A Propos de "Mvua"
Plus de Lyrics de MARIOO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl