Paroles de Pombe
Paroles de Pombe Par MACVOICE
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Eeh aiyoyoyo (It's S2kizzy beiby)
Eeh aiyeyeye
Aah aiyoyoyo
Eeh aiyeyeye
Kama, kama sitaki
Kama, kama sitaki
Nacheza kama, kama sitaki
Yaani kama ah ah kama sitaki
Wanoko washamba, nawacheka kwa dharau (Kama sitaki)
Nishafuta namba wachawi wote nawasahau (Kama sitaki)
Sinanga mawenge, siwajibu wakitoka (Kama sitaki)
Sibishani na kenge, leta matusi nikublock (Kama sitaki)
Nina-kunywa bia (Kama sitaki)
Nina-kwama bia (Kama sitaki)
Eh eh eh eh aiyoyoyo
Hio hio hio, aiyeyeye
Shuka shuka shuka, aiyoyoyo
Eh eh eh eh aiyeyeye
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Leta tulewe, zungusha tena, aiyeyeye
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Meza ipendeze, zungusha tena, aiyeyeye
Nakapa pombe kakilewa ndo nakashika, kama sitaki
Napanda milima ghetto kileleni nafika, kama sitaki
Ninakunywa bia, kama sitaki
Ninakapa bia, kama sitaki
-----
Leon Lee
-----
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Leta tulewe, zungusha tena, aiyeyeye
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Meza ipendeze, zungusha tena, aiyeyeye
(It's S2kizzy beiby)
Ecouter
A Propos de "Pombe"
Plus de lyrics de l'album My Voice
Plus de Lyrics de MACVOICE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl