
Paroles de Nitazoea
Paroles de Nitazoea Par LUKAMBA
Naona tamati ya mapenzi yetu imeisha vibaya
Haifanyi uwe mkamilifu kunisema vibaya
Na kama umarufu uliyoutaka si umeupata sawa
Na ile sadaka uwezi nilipa, atanilipa mola
Ata siamini imekuwa ghafla
Na moyo wangu umeuchachafya
Mara sabini ungenikataa
Ona leo umeniweka kwenye mkasa bila ya huruma
Si ndo ulisema utabaki na mimi inamaana ulinichora
Umekuwa gaidi umeniacha soloo
Basi ntazoea
Nitazoea
Basi ntazoea
Nitazoea
Umenikondesha umenizeesha mwaya nawe si unajua
Kuwa mbali na wewe sio poa
Umenipapresha, umenichezesha kwaya
Moyo unauchubua
Kukubali we uende sio dawa
Zanivuruga picha zako
Na ukutani bado sijazitoa
Ata taswira yako
Bado kichwani nayo sijaiondoa
Ata siamini imekuwa ghafla
Na moyo wangu umeuchachafya
Mara sabini ungenikataa
Ona leo umeniweka kwenye mkasa bila ya huruma
Si ndo ulisema utabaki na mimi inamaana ulinichora
Umekuwa gaidi umeniacha soloo
Basi ntazoea
Nitazoea
Basi ntazoea
Nitazoea
Ah we nenda salama
Ecouter
A Propos de "Nitazoea "
Plus de Lyrics de LUKAMBA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl