Paroles de Safari Par AY

Yeah, safari ya kwako duniani
(Safari)

[VERSE 1]
Safari ya kufikia uzee
Lazima uianze utotoni
Muda siku zote hauwait
Future iko kwa wazazi mikononi
Si kama safari ya kawaida
Milima na mabonde ni lazima utaikuta
Na inapaswa kuivuka
Imewekwa kwa ajili ya kukupima kama unasita
Elimu ukaingoja
Ukasoma kwa bidii huku ukijikongoja
Mambo ya dunia ikakudrop down
Ukainuka ukajivuta bado mbele ukasonga
Wachache  wakakuhusia
Watu wengi sana wakakuharibia
Hii ndio dunua bro
Hii ndio dunia sister
Kumbuka unaishi kwenye uwanja wa vita

[CHORUS]
Safari, safari, safari
Ya binadamu
Safari, safari, safari
Ya walimwengu (safari)
Bado twatembea (safari)
Bado twatafuta
Safari, safari, safari
Yoooh uwooo

[VERSE 2]
Ukakutana na mapenzi
Ukawapa moja watu wengi wakuenzi
Wakakufanyia ushenzi(damn)
Ukaona kila mtu hakupendi
Wenzako hawaendi unako kwenda
Na hawafurahi ukishinda
Kuwa makini kwani you never know
Mpenzi wa leo ndo adui wa siku zijaazo
Chanzo kakutana nazo
Katambua game ya mapenzi kama puzzle
Ila uvumilivu ndio ngao
Walioko kwenye ndoa nawapa salamu zao(zao)

[CHORUS]
Safari, safari, safari
Ya binadamu
Safari, safari, safari
Ya walimwengu (safari)
Bado twatembea (safari)
Bado twatafuta
Safari, safari, safari
Yoooh uwooo

[VERSE 3]
Miaka inakwenda(kwenda)
Siku zinapita unavuna ulichopanda(aaah)
Wengine wamesanda(sanda)
Wengine kwa majumba
Wengine kwenye kibanda(aaaah)
Wazuri wanaishia kibao
Wabaya wanafika mbali na kuleta balaa
Kila mtu ana safari jamaaa
Na hatuwezi fanana so sikatii tamaa
Umejiandaa aje na kifo
Unakumbuka kutukuza amri zako kwa mola wakoo
Isije kula kwako
Ukatamani igeuke nyuma hii safari yako
Ulizaliwa peke yako
Na kumbuka utarudisha namba ukiwa peke yako
Basi tubu dhambi zako
Ufunge chapter, jaribu kumkumbusha na mwenzako

Safari
Maisha ni safari ndefu
Safari twaimba leo
Maisha ni safari ndefu

[CHORUS]
Safari, safari, safari
Ya binadamu
Safari, safari, safari
Ya walimwengu (safari)
Bado twatembea (safari)
Bado twatafuta
Safari, safari, safari
Yoooh uwooo

 

Ecouter

A Propos de "Safari"

Album : SAFARI (Single)
Année de Sortie : 2018
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Dec 09 , 2018

Plus de Lyrics de AY

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant

See alsoVous aimeriez sûrementEssayez l'application Mobile

A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus riche collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2020, New Africa Media Sarl