Paroles de Ostadhi
Paroles de Ostadhi Par LUKAMBA
Lukawase
Trone trone trone
Eyoo trone
Asalamu aleykum ustadhi (asalamu)
Nakabiliwa na mengi ustadhi (asalamu)
Asalamu aleku ustadhi (asa lamu lamu)
Nachohitaji ni dua ustadhi (siku hizi na moka moka moka moka moka)
Siku hizi na moka moka moka moka moka
Siku hizi na koh koh koh aah
Siku hizi na moka moka moka moka moka
Baba tusamehe tumekosa
Tunavuta bangi kila kona
Ila umalaya ndo unatuponza
Sasa tumeokoka
Si tumechoka skruu
Skuku kuu kuu
Skuku kuu kuu , kuu kuu
Skuku kuu kuu
Skuku kuu kuu
Asalamu aleykum ustadhi (asalamu)
Nakabiliwa na mengi ustadhi (asalamu)
Asalamu aleku ustadhi (asa lamu lamu)
Nachohitaji ni dua ustadhi
Shekh ustadhi, leo nimekuja
Nafanya misala mitaani navuruga
Shekh ustadhi eeh
Wananiita buda
Nachanganyikiwa nikiviona vijuba
Tena tungi mikasi siachi
Nikipata ata laki inaiisha sekunde
Party na mimi, mimi na party
Yaka mpaka wasmart, wakanitupa njee
Asalamu aleykum ustadhi (asalamu)
Nakabiliwa na mengi ustadhi (asalamu)
Asalamu aleku ustadhi (asa lamu lamu)
Nachohitaji ni dua ustadhi
Skuku kuu kuu
Skuku kuu kuu
Skuku kuu kuu
Skuku kuu kuu
Baba tusamehe tumekosa
Tunavuta bangi kila kona
Ila umalaya ndo unatuponza
Sasa tumeokoka
Si tumechoka
Ecouter
A Propos de "Ostadhi"
Plus de Lyrics de LUKAMBA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl