Paroles de Najieka
Paroles de Najieka Par JAY MELODY
This girl is on fire
Ona sasa unapwita
Moyo wangu unapwita una pwita
Alafu tikatika tika tika
In la isla bonita I bonita
I feel like tupo kwetu
Tumeumana na niko peku
Sielewi chochote niko fyetu
Yani ni fyetu fyetu
Ningekua Dully ningeimba Julieta
Angekua pombe ningepiga tarumbeta
Kwa jinsi nampenda Mimi kwake najieka
Aah, najieka Mimi najieka
Ningekua Dully ningeimba Julieta
Angekua pombe ningepiga tarumbeta
Kwa jinsi nampenda Mimi kwake najieka
Aah, najieka mimi najieka
This girl is on fire
Ooooh oooh oooh
Najieka Mimi najieka, anhaa
Ooooh oooh ooh
Najieka Mimi najieka, anhaa
Kwanza mtoto
Niko radhi nimkatie bima
Ana vitu vyake moto moto
Anavyotikisa mzizima
Jama shere sheeere
Kuna pele peeele Shi
Anavyo chambuka chambuka
We kama Mchele cheeele
Ningekua Dully ningeimba Julieta
Angekua pombe ningepiga tarumbeta
Kwa jinsi nampenda mimi kwake najieka aaah
Najieka mimi najieka
Ningekua Dully ningeimba Julieta
Angekua pombe ningepiga tarumbeta
Kwa jinsi nampenda mimi kwake najieka aaah
Najieka mimi najieka
This girl is on fire
Ooooh oooh oooh
Najieka mimi najieka anhaa
Ooooh oooh oooh
Najieka mimi najieka anhaa
Bwana mie napata ushughu
Niko pale kati ana nitaka nitubu
Alafu kubwa zima anaogopa mdudu
Asa mambo gani mbona mwenzie mzungu
Bwana mie napata ushughu
Niko pale kati ana nitaka nitubu
Alafu kubwa zima anaogopa mdudu
Asa mambo gani mbona mwenzie mzungu
This girl is on fire
Ooooh oooh oooh
Najieka Mimi najieka anhaa
Ooooh oooh oooh
Najieka Mimi najieka anhaa
Ecouter
A Propos de "Najieka"
Plus de Lyrics de JAY MELODY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl