Paroles de Sindio
Paroles de Sindio Par JABIDII
Ati umeokoka, sindio
Umeokoka oko, sindio
Umeokoka, sindio
Umeokoka oko, sindio
Basi wa kunyam ketepa(Ah tema)
Dhambi ketepa(Ah tema)
Shash na manyaru(Ah tema)
Ati dhambi ketepa(Ah tema)
Nafuata Christ kimangoto
Embu acha nisichome mboto
Wacha crown ananitengenezea makao
Huko kwa christ buda hakuna msoto
Wacha nikuchekeshe
Haha ati...Walisema gospel imededi
Kumbe Christ huko juu anawacheka tu
Tema kateme, kasheito kamende
Ah-ah ujinga usilete, kataka kateme
Usilete kuchoma kirende, Ah - ah
Natema kidhambi
Ati umeokoka, sindio
Umeokoka oka, sindio
Umeokoka, sindio
Umeokoka oka, sindio
Wa kunyam ketepa(Ah tema)
Dhambi natepa(Ah tema)
Wa kunyam ketepa(Ah tema)
Dhambi natepa(Ah tema)
What a gwan baba
Christ ndiyo baddder
Hakuna ngori dada
Come kwa Christ na ka Gaza
Naye Yesu ndiye Father
Nakubaptize jina Holy Spirit on fire
Wagwan Baba, Christ ndiyo badder
Atatupatia anything tunataka
---
---
Ati umeokoka, sindio
Umeokoka oka, sindio
Umeokoka, sindio
Umeokoka oka, sindio
Wa kunyam ketepa(Ah tema)
Dhambi natepa(Ah tema)
Wa kunyam ketepa(Ah tema)
Dhambi natepa(Ah tema)
Rada rada, rada rada rada
Kitambo nilikuwa nachoma rada
Shada mtaani kulenga Baba
Sa niko free Christ anaheal
Sindio si ni hiyo mbio mbio
Form ni hiyo
Tema gwaya gwaya, buda boss ni kilio
Winner singer, dhambi sina
Jina nina, winner winner
Niko in, Amina, siaka siaka tena tena
Umeokoka, sindio
Umeokoka oka, sindio
Ati umeokoka, sindio
Umeokoka oka, sindio
Na kutema(Natema)
Jaba mogoka(Ah tema)
Ngwai na nini(Ah tema)
Makali mtaani(Ah tema)
Ati umeokoka
Umeokoka oka
Twende ... umeokoka wee waai
Buda okoka bana
Ati umeokooo...
Heyoo Sevil...
Si ni kienyewe...
Ecouter
A Propos de "Sindio"
Plus de Lyrics de JABIDII
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl