Paroles de Didimia
Paroles de Didimia Par JABIDII
Sometimes najipiga kifua
But najua bila God ingekuwa different story
Sometimes wananipa sifa zangu
But I no say mind dem to give God the glory
Sometimes wanaona mimi ni noma
But najua bila we God mi inanipa worry
Sometimes wanaona mi
Wana wanaona mi
Didimia when you turn up
Nadidimia asilimia when you show up
Mi nadidimia ukitokelezea
Didimia asilimia when you turn up
Didimia when you show up
Mi nadidimia ukitokelezea
Didimia when you turn up
Didimia asilimia ooh ah ah ah
Oh boy mimi hapa sio goi goi
Mi na Yesu am a strong boy
Mungu Baba kongoi
Peke yangu mi sitoboi
Na sheteni hanikomboi
Kwa ujuzi mbele yako mi ni danda
Uko commercial mi homeless kwa vibanda
Kawaida ninadimia
Yaani 100% asilimia
Baba niko chini ya miguu yako
Mi ni kama dot machoni pako
Wacha leo mi nikupe sifa zako
Sifa na utukufu zote ni zako
Sometimes najipiga kifua
But najua bila God ingekuwa different story
Sometimes wananipa sifa zangu
But I no say mind dem to give God the glory
Sometimes wanaona mimi ni noma
But najua bila we God mi inanipa worry
Sometimes wanaona mi
Wana wanaona mi
Didimia when you turn up
Nadidimia asilimia when you show up
Mi nadidimia ukitokelezea
Didimia asilimia when you turn up
Didimia when you show up
Mi nadidimia ukitokelezea
Mi nadidimia when you turn up
Didimia asilimia ooh ah ah ah
Leo nawaka ka taa
Naskia nimejazwa na roho walai
Mbele zake mi sifai
By grace nisafishe leo niko hai
Oh nah nah nah
When you turn up niko chini
Nipelekeni hospitalini
Nabonga nisemange nini
Naye ndo boss
Mi nanyenyekea
Kama tena ni mwisho wa mwezi
Ameniepusha kutoka wezi
Amenipa nguvu kama siwezi
Sasa mi nawaka kama jua Kibwezi
Sometimes najipiga kifua
But najua bila God ingekuwa different story
Sometimes wananipa sifa zangu
But I no say mind dem to give God the glory
Sometimes wanaona mimi ni noma
But najua bila we God mi inanipa worry
Sometimes wanaona mi
Wana wanaona mi
Didimia when you turn up
Nadidimia asilimia when you show up
Mi nadidimia ukitokelezea
Didimia asilimia when you turn up
Didimia when you show up
Mi nadidimia ukitokelezea
Didimia when you turn up
Didimia asilimia
Ecouter
A Propos de "Didimia"
Plus de Lyrics de JABIDII
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl