Paroles de Jina La Yesu
Paroles de Jina La Yesu Par GUARDIAN ANGEL
Jina lako Yesu, lina nguvu na uweza
Oooh oooh, (Ooooh..)
Wakuvunja kila
Minyororo ya shetani(Ya shetani)
Jina lako Yesu, lina nguvu na uweza
Jina la Yesu, Jina la Yesu
Wakuvunja kila
Minyororo ya shetani(Jina la Yesu)
Ulisema bwana utatenda
Zaidi ya uliyoyatenda
Naomba bwana tukiimba
Walio wagonjwa wanapona
Ulisema bwana utatenda
Zaidi ya uliyoyatenda
Naomba bwana tukiimba
Walio wapotoka waokoke
Walio kwao ndoa zao zimevunjika
Zinarudi kusimama(Zinarudi kusimama aah)
Viwete watembee, viziwi wasikie ukitajwa
Oooh Baba, nguvu za giza zimeshindwa
Nguvu za shetani zavunjika
Kwa jina lako, kwa jina lako
Jina lako Yesu, lina nguvu na uweza
Jina la Yesu, Jina la Yesu
Wakuvunja kila
Minyororo ya shetani(Jina la Yesu)
Kwa maji ya wake na waume zao(Jina)
Shukika pia binadamu(Jina)
Unafiki na masengenyo(Jina)
In the name of Jesus Christ(Jina)
Kwa maji ya wake na waume zao(Jina)
Shukika pia binadamu(Jina)
Unafiki na masengenyo(Jina)
Boom shaka(Jina)
Jesus the controller
Every knee shall bow
And every tongue confess
That Jesus is the Lord yeah
That Jesus is the Lord
Every knee shall bow
And every tongue confess
That Jesus is the Lord yeah
That Jesus is the Lord
Every knee shall bow
And every tongue confess
That Jesus is the Lord yeah
That Jesus is the Lord
Jina lako Yesu, lina nguvu na uweza
Jina la Yesu, Jina la Yesu
Wakuvunja kila
Minyororo ya shetani(Jina la Yesu)
Kila nguvu nifikwe
Kila ulimi ukiri
Kwamba wewe ni Bwana
Wewe ni Bwana oooh ooh
Ooooh....
Wewe ni Bwana wa mabwana
Twakwabudu pekee
Ecouter
A Propos de "Jina La Yesu"
Plus de Lyrics de GUARDIAN ANGEL
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl